Kweli inabidi D9 iboreshwe haswa ili tuirudishe Tanganyika yetu.Emu tuache kidogo tupo kwenye maandalizi ya D9...
Hujanielewa,nimeomba matokeo yake ya kidato cha nne tuu...Kidato cha nne ni elimu ya kitoto,ila ungekua umepitia elimu ya juu ungejua kuwa huruhusiwi kusoma bachelor degree bila principal E mbili na S moja au diploma,na hufiki a level bila C tatu o level,huendi diploma bila kupita level ya certificate au principal E moja na S a level
Kilaza elimu ya kuungaungaWanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
========
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia
Taarifa Za Msingi
β’ Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
β’ Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
β’ Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)
Elimu
β’ Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990β1996)
β’ Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997β2000)
β’ Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001β2002)
β’ Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005β2006), kusaidia kazi za kisheria (βLegal Assistanceβ)
β’ Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007β2008)
Historia ya Kazi
β’ Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) β mwaka 2010.
Uzoefu wa Kisiasa
β’ Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
β’ Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008β2012).
Mafunzo & Kozi Za Ziada
β’ Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (βGrowth for Developmentβ) β Uingereza, 2014.
β’ Cheti cha Uandishi wa Sheria (βLegal Draftingβ) β Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
β’ Mafunzo ya Uongozi (βLeadership Developmentβ) β Chuo cha Wawakilishi, 2013.
β’ Kozi ya Kompyuta β Karume Technical Institute, 2003β2004.
Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Kihiyo kama mamake kumbeWanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
She graduated in law in 2018 from the online Open University of Tanzania
========
Wasifu wa Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia
Taarifa Za Msingi
β’ Jina Kamili: Wanu Hafidh Ameir
β’ Tarehe ya Kuzaliwa: 09 Februari 1982
β’ Chama cha Kisiasa: CCM (Chama Cha Mapinduzi)
Elimu
β’ Shule ya Msingi: Mwanakwerekwe B Primary School (1990β1996)
β’ Sekondari: Kawanda Secondary School, O-Level (1997β2000)
β’ Sekondari ya A-Level: Kawanda Secondary School (2001β2002)
β’ Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005β2006), kusaidia kazi za kisheria (βLegal Assistanceβ)
β’ Diploma: Centre for Foreign Relations, kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Utawala wa Diplomasia (2007β2008)
Historia ya Kazi
β’ Msaidizi wa Utawala (Administrative Officer), Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji, Zanzibar (SMZ) β mwaka 2010.
Uzoefu wa Kisiasa
β’ Mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji ya CCM (CCM National Executive Committee) tangu 2010.
β’ Mwenyekiti wa CCM vijana, Unguja Kusini (2008β2012).
Mafunzo & Kozi Za Ziada
β’ Mafunzo ya ukuaji wa maendeleo (βGrowth for Developmentβ) β Uingereza, 2014.
β’ Cheti cha Uandishi wa Sheria (βLegal Draftingβ) β Zanzibar Law Resource Centre, 2013.
β’ Mafunzo ya Uongozi (βLeadership Developmentβ) β Chuo cha Wawakilishi, 2013.
β’ Kozi ya Kompyuta β Karume Technical Institute, 2003β2004.
Chanzo: Kulingana na Tovuti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar:
Mbona povu....... kidato cha nne tuu...Wewe kaa na phd yako ya mechanical engineering, unafundisha kusuka vyuma huku ukila mavumbi
Ishu.hapo sio kuwa na akili au Hana.bali miaka ya aliyosoma shule ndo utataHuyo mshangazi kichwani ni mweupe kama mama yake na ni mvivu balaa
CV inachanganya kama ya mteuajiβ’ Shahada ya Cheo cha Kazi (Certificate): Info-Serve Institute (2005β2006), kusaidia kazi za kisheria (βLegal Assistanceβ)
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021.
Mkuu ungesema kifutwe TCU, Open wao wanafuata utaratibu uliowekwa na TCU.Sema hiki chuo ni cha kufuta maana kimekuwa chocho la vilaza
Wanu and Mohammed, who are married, now enter the Cabinet together, a decision expected to intensify criticism from opponents who have long accused President Samia of nepotism.
πππππA level ya mwaka mmoja jamani.Waziri wa elimu kilaza.
Wewe nawe tokea lini A level ni mwaka mmoja?Soma CV ya kilaza Wanu.
Mbna Burundi πππππWazenji wote elimu zao za kuunga unga kama Hangaya. Yule AG nae kasoma sheria Ukraine. Waziri wa fedha mzenji nae utasikia ana diploma ya uchumi toka Burundi huko.
ππππππCV inachanganya kama ya mteuaji
Like mother like daughterNi vizuri tukijua matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita...