Zanzibar 2020 Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

Kumchagua Seif na Seif kushinda ni vitu viwili tofauti bwashee!
 
Mwinyi siyo Mzanzibar
 
Aliyekuambia ata Rais anaweza kulinda nchi ni nani!?
 
Kwahiyo hao Wazanzibari 1.5m siyo Watanzania!?
 
Hayo ni maelezo ya Amiri jeshi mkuu anayemteua CDF!
Ebo! Mbona unatuchanganya sasa!!! Si umesema Dr. Mwinyi ndie alikuwa anatulinda?! Ina maana Dr. Mwinyi ambae ndie Waziri Ulinzi ndie huyo huyo anayefanya kazi kama Amiri Jeshi Mkuu?!

Kumbe ni Dr. Mwinyi ndie anateua CDF?!
 
Anajua hata kushika bunduki huyo? JKT alikwepa kwenda. Nchi nyingine asingepewa kazi yoyote serikalini kwa kukwepa kwenda JKT ambako kwenda ilikuwa ni kwa mujibu wa seria za Tanzania. Sema tu hapa kwetu Magufuli ndiye katiba na sheria na CCM ndio Tume, Polisi, Msajili, TISS, Musiba na Mahakama.
 
Akwilina na Ben sio watanzania? Wako wapi?
 
Ebo! Mbona unatuchanganya sasa!!! Si umesema Dr. Mwinyi ndie alikuwa anatulinda?! Ina maana Dr. Mwinyi ambae ndie Waziri Ulinzi ndie huyo huyo anayefanya kazi kama Amiri Jeshi Mkuu?!

Kumbe ni Dr. Mwinyi ndie anateua CDF?!
Soma kwa kuelewa bwashee,

Najua mida hii una kisado cha mbege pembeni.
 
Cha kusikitisha ni kwamba hata wanaCCM wenyewe hawampigii kura Mwinyi hapo Zenji.
Wazanzibar wanajitambua sana, hivi ni kweli hakuna wazanzibar wengine wanaoweza kuongoza Zanzibar mpaka wajirudie-rudie haohao watoto wa viongozi? Kibaya zaidi hawachagui au kupanga wao, ni lazima atokee Dodoma?
 
Wazanzibar ni wapenda mabadiliko,niwapenda haki napia niwapenda Uhuru.Zabzibar tumeamua Tunakwenda na Babu,kwake Kuna hekima,utu na uzalendo wakweli.
 

CCM hoja zenu ni nyepesi sana

Kwan mwinyi alikuwa mkuu wa majeshi?
Au alikuwa amiri jeshi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…