Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Tatizo ni Mzanzibara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumchagua Seif na Seif kushinda ni vitu viwili tofauti bwashee!Naona mwandishi unaandika bila kushirikisha ubongo. Kwa hivyo CDF wote wanafaa kuwa marais wa Tanzania?
Wazanzibar wanataka kumsikia Mwinyi akizungumzia mustakabali wa Zanzibar katika muungano huu ulioifanya Zanzibar kuwa mkia (mkoa!) wa Tanganyika. Mwinyi toka amekuwa mwanasiasa mpaka leo hii anagombea urais anaogopa kabisa kuwasemea wazanzibar kuhusu muungano unaotutesa wazanzibar. Mzanzibar gani huyu muoga kama Kunguru wa bara?
Wazanzibar hatutaki utani safari hii, tulishaikataa CCM na wagombea wake wote, tumechoka kuburuzwa na muungano wa kihuni. Iwe jua liwe mvua, tutamchagua Maalim Seif.
Maelezo haya endani na Ukweli au hali halisi.Hayo ni maelezo ya Amiri jeshi mkuu anayemteua CDF!
Uhalisia ni upi bwashee?!Maelezo haya endani na Ukweli au hali halisi.
Mwinyi siyo MzanzibarNaona mwandishi unaandika bila kushirikisha ubongo. Kwa hivyo CDF wote wanafaa kuwa marais wa Tanzania?
Wazanzibar wanataka kumsikia Mwinyi akizungumzia mustakabali wa Zanzibar katika muungano huu ulioifanya Zanzibar kuwa mkia (mkoa!) wa Tanganyika. Mwinyi toka amekuwa mwanasiasa mpaka leo hii anagombea urais anaogopa kabisa kuwasemea wazanzibar kuhusu muungano unaotutesa wazanzibar. Mzanzibar gani huyu muoga kama Kunguru wa bara?
Wazanzibar hatutaki utani safari hii, tulishaikataa CCM na wagombea wake wote, tumechoka kuburuzwa na muungano wa kihuni. Iwe jua liwe mvua, tutamchagua Maalim Seif.
Uhalisia ni upi bwashee?!
Kwahiyo hao Wazanzibari 1.5m siyo Watanzania!?Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.
Dr Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Ebo! Mbona unatuchanganya sasa!!! Si umesema Dr. Mwinyi ndie alikuwa anatulinda?! Ina maana Dr. Mwinyi ambae ndie Waziri Ulinzi ndie huyo huyo anayefanya kazi kama Amiri Jeshi Mkuu?!Hayo ni maelezo ya Amiri jeshi mkuu anayemteua CDF!
Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.
Dr Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Zbar Jana mwitikio wa mkutano mbali ya tamasha kubwa sana wasanii ni aibu na somo kubwa kwa ccm, wajitathimini.
Akwilina na Ben sio watanzania? Wako wapi?Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.
Dr Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Soma kwa kuelewa bwashee,Ebo! Mbona unatuchanganya sasa!!! Si umesema Dr. Mwinyi ndie alikuwa anatulinda?! Ina maana Dr. Mwinyi ambae ndie Waziri Ulinzi ndie huyo huyo anayefanya kazi kama Amiri Jeshi Mkuu?!
Kumbe ni Dr. Mwinyi ndie anateua CDF?!
Wazanzibar wanajitambua sana, hivi ni kweli hakuna wazanzibar wengine wanaoweza kuongoza Zanzibar mpaka wajirudie-rudie haohao watoto wa viongozi? Kibaya zaidi hawachagui au kupanga wao, ni lazima atokee Dodoma?Cha kusikitisha ni kwamba hata wanaCCM wenyewe hawampigii kura Mwinyi hapo Zenji.
Wazanzibar ni wapenda mabadiliko,niwapenda haki napia niwapenda Uhuru.Zabzibar tumeamua Tunakwenda na Babu,kwake Kuna hekima,utu na uzalendo wakweli.Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.
Dr. Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.
Dr. Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Hayo ni maelezo ya Amiri jeshi mkuu anayemteua CDF!