THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Tusiongee sana muda utaongea.baada ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya ccm huko visiwani znz nimemfuatilia kwa karibu mazungumzo yake na haswa leo ktk mkutano wa halmashauri kuu ccm nimebani kuwa Hussein ana karama ya uongozi,
hongera sana Hussein Mwinyi,
Magufuli yeye anasema Zanzibar wasichague rais ambaye kila akikutana naye kitu cha kwanza ni shikamoo!!![emoji3]Baada ya kumsikiliza Magufuli anavyoongea, sasa hivi hata ukimdikiliza mtoto wa miaka 12 unaweza kusema ana karama ya uongozi.
Mwinyi ana maswali mengi.
Lakini, acceptance speech yake ilikuwa poa sana. Alisema alichotakiwa kusema, alisema kwa unyenyekevu, alisema kwa kuwaunganisha wanachama wote wa CCM, alisema kwa kuonesha kujua kwamba ameshinda mchakato mrefu, lakini kazi kubwa zaidi iko mbele yake.
Hussein Mwinyi aliongea in a presidential way kuliko hata Magufuli aliyekuwa anajifaragua kuonesha udikteta wake tu.
Magufuli anayo?baada ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya ccm huko visiwani znz nimemfuatilia kwa karibu mazungumzo yake na haswa leo ktk mkutano wa halmashauri kuu ccm nimebani kuwa Hussein ana karama ya uongozi,
hongera sana Hussein Mwinyi,
Hayo ni maelezo ya Amiri jeshi mkuu anayemteua CDF!Ameweza kutulindaje?
Maana wanaofanya hiyo kazi ni wengine kabisa. yeye ni mratibu tu.
Usiandike as if yeye ndio CDF.
Hata wewe unaweza, ni katiba tu.Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.
Dr Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Amealinda vipi ww akili yako iko sawa kweli?Katika hotuba nzima ya Dr Magufuli pale Zanzibar jana swali hili alilowauliza wazanzibar ndio lililonifurahisha.
Dr Hussein Mwinyi ameweza kutulinda na kuhakikisha watanzania milioni 60 tuko salama atashindwaje kuwaongoza wazanzibari 1.5?
Mungu mbariki Rais Magufuli.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Aliwalindaje raiya wa mbagala na gongo la mboto ilihali walilipukiwa na mabomu yeye akiwa anacheka-cheka tu?Hayo ni maelezo ya Amiri jeshi mkuu anayemteua CDF!
Hivi amiri mkuu ndiye aliyeomba kusuguliwa?Hayo ni maelezo ya Amiri jeshi mkuu anayemteua CDF!