Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
2,849
Reaction score
2,508
1.Alizaliwa tarehe 01/09/1985, Rungwe Mbeya

ELIMU
1. Digrii ya Kwanza ya Sheria 2007-2011 UDSM
2. Digrii ya Pili ya Sheria 2012-2014 UDSM
3. Mafunzo ya Uwakili 2015-2016 L'ST

UZOEFU WA KAZI NA UONGOZI
1. Katibu - Kitivo cha Sheria - UDSM - DARUSO 2009-2010.
2. Spika Bunge la Wanafunzi - UDSM - DARUSO 2010-2011.
3.Rais wa Wanafunzi(The Law School of Tanzania) - 2015-2016.
4. Afisa Utawala - Tanzania-Germany Centre For Eastern Africa Legal Studies 2011-2012
5. Hakimu Mkazi - 2012-2017.
6. Mwalimu wa Sheria Chuo Kikuu SAUT-Tabora 2016-2018.
7. Mwanasheria wa Uchaguzi CCM Makao Makuu - 2017-2018.
8. Mwanasheria Mkuu CCM Makao Makuu - 2019-mpaka sasa.
9. Mwanasheria Wa African Media Group - 2019-mpaka sasa.
10. Mwanasheria wa Uhuru Media Group 2019-mpaka sasa.
11. Mwanasheria wa Jitegemee Trading Co.Ltd 2019-mpaka sasa.
12. Katibu wa Secretarieti ya Baraza la Wadhamini wa CCM Taifa 2019-mpaka sasa.

TUUNGANE KURUDISHA HESHIMA YA RUNGWE YETU YA WASOMI

IMG_20200713_150147_522.jpg
 
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
 
Anastahili.Afadhali MBeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
Zimefika salamu zako mkuu
 
Ukishakuwa CCM Mpya sifa zote hizo ni bure kwani tukifanya makosa atakwenda bungeni kugonga meza kuashiria ndiyo pia kuingilia mijadala mizito kwa kuomba mwongozo na kanuni na siyo kuwakilisha hoja zenye matamanio ya wananchi wa jimbo analotoka.

Kwa kifupi hatufai kutuwakilisha wananchi wa Nyanda za Juu Kusini .
 
Kwa sasa wana Rungwe huyu ndie kijana anaetufaa sijui huko kwenu
 
Hizi ndizo CV ambazo tunataka kuziona ndani ya chama tawala. Wana Rungwe kazi kwenu, kijana wenu huyo ambaye mnapaswa kumuamini.

Nashindwa kuelewa kwa nini mmalaka za uteuzi zinashindwa kuona vichwa kama hivi kwa nafasi za uDC na uDAS na badala yake wanawaamini vilaza!
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
sawa ila Tulia asubiri uteuzi
 
Namtakia kila la kheri, japo najiuliza maswali mengi sipati majibu. Rungwe ina wasomi wengi sana kuliko hata huyu, lakini kwanini wamejitokeza wachache sana kutia nia ???
Labda hawajaamua pia muda bado wanaweza kuja badae
 
Huyu hawafai wanarungwe maana amekulia kwenye mfumo wa kukandamiza wananchi .........

Wanarungwe kwa Sasa wanataka mbunge kutoka upinzani mwenye uwezo wa kuwasemea ndani na nje ya bunge.......

Wabunge wote waliopita ni bubu na hawaonekani kwa wananchi. Piga chini huyo wakili
 
Back
Top Bottom