Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

13 Julai 2020
Dodoma, Tanzania

Polepole : Mabango au Vipeperushi viwe vya ktk nguzo au mtandaoni haviruhusiwi na CCM Mpya

Watia nia ktk kutaka kuteuliwa kugombea uongozi wa nafasi vyombo vya dola kupitia CCM Mpya wasomewa makatazo ikiwemo vipeperushi ktk mitandao ya kijamii
 
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
Hao wasomi wameleta maendeleo gani zaidi ya kupiga kelele za ndio,ccm imejaa PHD za wajinga tupu
 
1.Alizaliwa tarehe 01/09/1985, Rungwe Mbeya

ELIMU
1. Digrii ya Kwanza ya Sheria 2007-2011 UDSM
2. Digrii ya Pili ya Sheria 2012-2014 UDSM
3. Mafunzo ya Uwakili 2015-2016 L'ST

UZOEFU WA KAZI NA UONGOZI
1. Katibu - Kitivo cha Sheria - UDSM - DARUSO 2009-2010.
2. Spika Bunge la Wanafunzi - UDSM - DARUSO 2010-2011.
3.Rais wa Wanafunzi(The Law School of Tanzania) - 2015-2016.
4. Afisa Utawala - Tanzania-Germany Centre For Eastern Africa Legal Studies 2011-2012
5. Hakimu Mkazi - 2012-2017.
6. Mwalimu wa Sheria Chuo Kikuu SAUT-Tabora 2016-2018.
7. Mwanasheria wa Uchaguzi CCM Makao Makuu - 2017-2018.
8. Mwanasheria Mkuu CCM Makao Makuu - 2019-mpaka sasa.
9. Mwanasheria Wa African Media Group - 2019-mpaka sasa.
10. Mwanasheria wa Uhuru Media Group 2019-mpaka sasa.
11. Mwanasheria wa Jitegemee Trading Co.Ltd 2019-mpaka sasa.
12. Katibu wa Secretarieti ya Baraza la Wadhamini wa CCM Taifa 2019-mpaka sasa.

TUUNGANE KURUDISHA HESHIMA YA RUNGWE YETU YA WASOMI

View attachment 1505597
Kwa mujibu wa komredi Polepole huyu keshafeli!
 
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
Hao wasomi wameifanyia nn mbeya ?? Nenda kyela kwa mwakyembe ni aibu tupu ..nenda kwa Saul ( S . H Amon ) ni bure kbsaa ...nenda Jimbo la Busokelo ni tabu tupu...Nenda Chatto ndo hvyo kbsa...hayo majimbo ni ya wasomi tu ...lkn ni hovyo tu
 
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
tunduma haiko Mbeya!
 
Bora la saba na f4 ambao wanamchango kwa taifa kuliko wasomi jamii ya akina Kabudi, Mwigulu, Mwakyembe n.k ambao hawana faida kwa taifa.
 
Namtakia kila la kheri, japo najiuliza maswali mengi sipati majibu. Rungwe ina wasomi wengi sana kuliko hata huyu, lakini kwanini wamejitokeza wachache sana kutia nia ???

Huko wanarogana sana ndo maana wasomi ni wachache wanaorudi, ukisoma kule ishia hukohuko kama mnamajirani wenye kijicho fasta utamalizwa
 
Back
Top Bottom