Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanasheria mkuu wa chadema kwa hicho chuma mweupe sana...Wanaomfahamu Advocate Mwangomango watakuambiaEti Huyo ndio mwanasheria mkuu wa ccm hebu mlinganishe na mwanasheria mkuu wa chadema,utagundua huyo haingii hata robot kwa lissu
Hiyo haiwezekani lissu ni next level hadi prof shivji anajua hilo,Mwanasheria mkuu wa chadema kwa hicho chuma mweupe sana...Wanaomfahamu Advocate Mwangomango watakuambia
Hongera Comrade kwa nafasi uliyofikia View attachment 1513007
Ukishakuwa CCM Mpya sifa zote hizo ni bure kwani tukifanya makosa atakwenda bungeni kugonga meza kuashiria ndiyo pia kuingilia mijadala mizito kwa kuomba mwongozo na kanuni na siyo kuwakilisha hoja zenye matamanio ya wananchi wa jimbo analotoka.
Kwa kifupi hatufai kutuwakilisha wananchi wa Nyanda za Juu Kusini .
Hayupo mwanaccm anayesema kuna kitu hakifai pale bungeni....Unaposema watu wa ndio huwataki, unatufanya tuanze kuwaza watu wa kupinga kila kitu kama walivyo sasa bungeni. Tunataka watu ambao kisichofaa wanasema na kukataa. na kizuri wanakubali hata kama kinafanywa na wengine. Mimi si Lumumba na nimeacha ushabiki usio na macho wa Chadema. Ninafuata siasa za Maendeleo ya Nchi yangu.
Viongozi unawaita mbwa?Hayupo mwanaccm anayesema kuna kitu hakifai pale bungeni....
Si unaona hao mbwa wamepitisha na kuruhusu viongozi wa mihimili kuvunja katiba bila kushitakiwa. Watz wote tukiamua kutumia akili zetu vizuri hakuna mtu hata wasaka vyeo wanaweza kutetea mashetani maccm
Mtu mwenye tabia za mbwa unamwitaje? Kiongozi mlafi anaitwa mlafi hivo hivo..... Ndio maana wengine wanaitwa mafisadi, wengine mwl Nyerere aliwaita viongozi wenye tabia km za malaya Malaya.......Viongozi unawaita mbwa?
Hapo anafukuzia uteuziHawezi kidudumtu yule......hawa ndo waharibifu wa nchi. Ukijiuliza miaka mitano iliyopita kamtetea mwananchi gani utaona hakuna zaidi ya yy na spika kua mhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali hii ya kishetani