Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

Huyu hafai hata kidogo maana ni walewale wazee wa ndiooo....
Siasa za kitoto yaani unakuwa mtu mzuri pale unaishi kwa kupinga kila kituu. Ndio maana ukiambiwa bwawa la kuzalisha umeme ni muhimu kwa nchi hii, wewe unakata. Nchi na dunia imebadilika, sasa hivi tunataka matokeo tuu.
 
Cjui km umeelewa ulichoandika......mimi nimesema hatutaki wale wa ndioooo kila kitu sasa mabwawa yameingiaje mtu wa mtaa wa lumumba
 
Cjui km umeelewa ulichoandika......mimi nimesema hatutaki wale wa ndioooo kila kitu sasa mabwawa yameingiaje mtu wa mtaa wa lumumba
Unaposema watu wa ndio huwataki, unatufanya tuanze kuwaza watu wa kupinga kila kitu kama walivyo sasa bungeni. Tunataka watu ambao kisichofaa wanasema na kukataa. na kizuri wanakubali hata kama kinafanywa na wengine. Mimi si Lumumba na nimeacha ushabiki usio na macho wa Chadema. Ninafuata siasa za Maendeleo ya Nchi yangu.
 
Kila la kheri comrade Mwangomango
IMG_20200720_092553_312.jpg
 
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
Hivi sugu atapigwa chini kweli ?
 
Back
Top Bottom