Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

Huyu hawafai wanarungwe maana amekulia kwenye mfumo wa kukandamiza wananchi .........

Wanarungwe kwa Sasa wanataka mbunge kutoka upinzani mwenye uwezo wa kuwasemea ndani na nje ya bunge.......

Wabunge wote waliopita ni bubu na hawaonekani kwa wananchi. Piga chini huyo wakili
Huyu ndie mkombozi wa wana rungwe atawasimamia nje na ndani.Muaminini Mwangomango Atawafikisha
 
Kwani lazima uwe mbunge jamaa? Mbona wasifu umekaa poa tu kufanya shughuli za kitaasisi huko alafu na kazi ya maana tu unayo humo kwenye taasisi yenu, au unataka tu mpaka uingie mjengoni ndipo uamini kuwa unawatumikia wananchi? Si hata huko kwenye taasisi wapo wananchi haohao tena wenye weredi kwelikweli. Komaa tu humo humo ndugu.
 
Kwan wasomi wangap wamechaguliwa na hawana faida yoyote ktk nchi?
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
 
Kama shida ni hiyo kwanini mliweka vigezo na sifa za kugombea ubunge kuwa elimu ya darasa la saba na mtu anaejua kusoma na kuandika?
 
Kwani lazima uwe mbunge jamaa? Mbona wasifu umekaa poa tu kufanya shughuli za kitaasisi huko alafu na kazi ya maana tu unayo humo kwenye taasisi yenu, au unataka tu mpaka uingie mjengoni ndipo uamini kuwa unawatumikia wananchi? Si hata huko kwenye taasisi wapo wananchi haohao tena wenye weredi kwelikweli. Komaa tu humo humo ndugu.
Muda wa kuwatumikia wananchi waliomfikisha hapo alipo na jimboni wanamuhitaji
 
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
Una uhakika kuwa Elimu inaweza kuwa na impact ktk kuwaletea Wananchi maendeleo???.
 
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
Mbona umemwacha Sauli au kwa sababu yeye ni ccm
 
Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri

Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
Wasomi wa vyeti.
 
Wameisaidaje Mby kulinganisha na Wazee Kama Mwaikambo, Nsekelea
 
Back
Top Bottom