Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

Huyu ndie mkombozi wa wana rungwe atawasimamia nje na ndani.Muaminini Mwangomango Atawafikisha
 
Kwani lazima uwe mbunge jamaa? Mbona wasifu umekaa poa tu kufanya shughuli za kitaasisi huko alafu na kazi ya maana tu unayo humo kwenye taasisi yenu, au unataka tu mpaka uingie mjengoni ndipo uamini kuwa unawatumikia wananchi? Si hata huko kwenye taasisi wapo wananchi haohao tena wenye weredi kwelikweli. Komaa tu humo humo ndugu.
 
Kwan wasomi wangap wamechaguliwa na hawana faida yoyote ktk nchi?
 
Kama shida ni hiyo kwanini mliweka vigezo na sifa za kugombea ubunge kuwa elimu ya darasa la saba na mtu anaejua kusoma na kuandika?
 
Muda wa kuwatumikia wananchi waliomfikisha hapo alipo na jimboni wanamuhitaji
 
Una uhakika kuwa Elimu inaweza kuwa na impact ktk kuwaletea Wananchi maendeleo???.
 
Mbona umemwacha Sauli au kwa sababu yeye ni ccm
 
Wasomi wa vyeti.
 

Wameisaidaje Mby kulinganisha na Wazee Kama Mwaikambo, Nsekelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…