Mwamba ulipotea kdg...Hayo ya kwako
Basi haina kwere.Kwani hapo hujaelewa nini? Au wewe umetafsiri namna gani?
Hao wasomi wameleta maendeleo gani zaidi ya kupiga kelele za ndio,ccm imejaa PHD za wajinga tupuAnastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri
Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
Kwa mujibu wa komredi Polepole huyu keshafeli!1.Alizaliwa tarehe 01/09/1985, Rungwe Mbeya
ELIMU
1. Digrii ya Kwanza ya Sheria 2007-2011 UDSM
2. Digrii ya Pili ya Sheria 2012-2014 UDSM
3. Mafunzo ya Uwakili 2015-2016 L'ST
UZOEFU WA KAZI NA UONGOZI
1. Katibu - Kitivo cha Sheria - UDSM - DARUSO 2009-2010.
2. Spika Bunge la Wanafunzi - UDSM - DARUSO 2010-2011.
3.Rais wa Wanafunzi(The Law School of Tanzania) - 2015-2016.
4. Afisa Utawala - Tanzania-Germany Centre For Eastern Africa Legal Studies 2011-2012
5. Hakimu Mkazi - 2012-2017.
6. Mwalimu wa Sheria Chuo Kikuu SAUT-Tabora 2016-2018.
7. Mwanasheria wa Uchaguzi CCM Makao Makuu - 2017-2018.
8. Mwanasheria Mkuu CCM Makao Makuu - 2019-mpaka sasa.
9. Mwanasheria Wa African Media Group - 2019-mpaka sasa.
10. Mwanasheria wa Uhuru Media Group 2019-mpaka sasa.
11. Mwanasheria wa Jitegemee Trading Co.Ltd 2019-mpaka sasa.
12. Katibu wa Secretarieti ya Baraza la Wadhamini wa CCM Taifa 2019-mpaka sasa.
TUUNGANE KURUDISHA HESHIMA YA RUNGWE YETU YA WASOMI
View attachment 1505597
Hao wasomi wameifanyia nn mbeya ?? Nenda kyela kwa mwakyembe ni aibu tupu ..nenda kwa Saul ( S . H Amon ) ni bure kbsaa ...nenda Jimbo la Busokelo ni tabu tupu...Nenda Chatto ndo hvyo kbsa...hayo majimbo ni ya wasomi tu ...lkn ni hovyo tuAnastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri
Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
tunduma haiko Mbeya!Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri
Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
Wacha wakapambane
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaka nimerudiMwamba ulipotea kdg...
Naona uko kwenye mambo ya kampeni
Ova
Bora la saba na f4 ambao wanamchango kwa taifa kuliko wasomi jamii ya akina Kabudi, Mwigulu, Mwakyembe n.k ambao hawana faida kwa taifa.Anastahili.Afadhali Mbeya sasa hivi ipate wasomi ambao waweza chagulika kuwa mawaziri
Mbeya kulikuwa kumejaa darasa la saba wengi na form four wengi wa akina SUGU wa Mbeya MJINI ,Mwakajoka wa Tunduma nk Sasa hivi zinaingia namba za wasomi tena vijana safi sana kila heri
huyu kijana anawafaa sana familia yako,mke na mmeo,ila kwa sisi watu wa jimbo hili ni hatufaiKwa sasa wana Rungwe huyu ndie kijana anaetufaa sijui huko kwenu
Huyu anagombea jimbo la Rungwe sio huko kwenu Mkingahuyu kijana anawafaa sana familia yako,mke na mmeo,ila kwa sisi watu wa jimbo hili ni hatufai
Namtakia kila la kheri, japo najiuliza maswali mengi sipati majibu. Rungwe ina wasomi wengi sana kuliko hata huyu, lakini kwanini wamejitokeza wachache sana kutia nia ???
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huko wanarogana sana ndo maana wasomi ni wachache wanaorudi, ukisoma kule ishia hukohuko kama mnamajirani wenye kijicho fasta utamalizwa
Mwambie kama hajawahi kukanyaga huko tangu apate digrii na kazi yake, ajitoe tu, maana watumvukia mpaka wakautafute malawi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utani wa ngumi huu, ngoja wakusikie wenyewe!Huko wanarogana sana ndo maana wasomi ni wachache wanaorudi, ukisoma kule ishia hukohuko kama mnamajirani wenye kijicho fasta utamalizwa
Huenda hawana talent za uongozi mkuuNamtakia kila la kheri, japo najiuliza maswali mengi sipati majibu. Rungwe ina wasomi wengi sana kuliko hata huyu, lakini kwanini wamejitokeza wachache sana kutia nia ???
AiseeeMwambie kama hajawahi kukanyaga huko tangu apate digrii na kazi yake, ajitoe tu, maana watumvukia mpaka wakautafute malawi
Huyu MWANGOMANGO anaweza na Atawatosha wana rungweHuenda hawana talent za uongozi mkuu