Uchaguzi 2020 Wasifu wa Bw. Goodluck Abinala Mwangomango- Mtia Nia Jimbo la Rungwe

Eti Huyo ndio mwanasheria mkuu wa ccm hebu mlinganishe na mwanasheria mkuu wa chadema,utagundua huyo haingii hata robot kwa lissu
 
Eti Huyo ndio mwanasheria mkuu wa ccm hebu mlinganishe na mwanasheria mkuu wa chadema,utagundua huyo haingii hata robot kwa lissu
Mwanasheria mkuu wa chadema kwa hicho chuma mweupe sana...Wanaomfahamu Advocate Mwangomango watakuambia
 
Mwanasheria mkuu wa chadema kwa hicho chuma mweupe sana...Wanaomfahamu Advocate Mwangomango watakuambia
Hiyo haiwezekani lissu ni next level hadi prof shivji anajua hilo,
Kingine huyo mwanasheria mkuu wa ccm number yake ya uwakili ni 6600s, lissu ni 900s huko okimaanisha kwamba lissu ana uzoefu mkubwa sana kuliko mwanasheria mkuu wa ccm yaani kwa maneno rahisi mwanasheria mkuu wa ccm ni mchanga compared to lissu.
Kesi alizosimamia lissu ni nyingi sana mfano za uchaguzi.
 

Huyo mliye kuwa naye hapo Rungwe kwa sasa amewafanyia nini?
 
Hayupo mwanaccm anayesema kuna kitu hakifai pale bungeni....
Si unaona hao mbwa wamepitisha na kuruhusu viongozi wa mihimili kuvunja katiba bila kushitakiwa. Watz wote tukiamua kutumia akili zetu vizuri hakuna mtu hata wasaka vyeo wanaweza kutetea mashetani maccm
 
Viongozi unawaita mbwa?
 
Kura Za Maoni Zilipita Vip Matokeo Huko Rungwe Ccm
 
Viongozi unawaita mbwa?
Mtu mwenye tabia za mbwa unamwitaje? Kiongozi mlafi anaitwa mlafi hivo hivo..... Ndio maana wengine wanaitwa mafisadi, wengine mwl Nyerere aliwaita viongozi wenye tabia km za malaya Malaya.......

Au ww umechukuliaje mkuu
 
Hawezi kidudumtu yule......hawa ndo waharibifu wa nchi. Ukijiuliza miaka mitano iliyopita kamtetea mwananchi gani utaona hakuna zaidi ya yy na spika kua mhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali hii ya kishetani
Hapo anafukuzia uteuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…