Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango


Kama angekuwa na mtazamo unaousema hapa Dr. Mpango angefanywa kuwa waziri mkuu. Nafasi ya makamu wa Rais si ya utendaji sana kuliko Waziri Mkuu.

Tuna haja ya katiba mpya kujua majukumu ya watu hawa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Kama Rais ni mtendaji mkuu wa serikali, hakuna haja ya Waziri Mkuu. Mfumo sahihi ulikuwa ni kuwa na Rais kama kiongozi wa nchi, na waziri mkuu kama kiongozi wa serikali ya Tanzania Bara na huyu Rais wa Zanzibar kama waziri mkuu huko!! Sasa huko visiwani hata kuna waziri kiongozi na makamu wawili wa Rais. Tuna kazi sana!!
 
Hiv makamu wa rais ndio nchi iko mikonon mwake?
Yeye kazi yake ni kukata utepe tu na kuzindua miradi basi.Yeye sio mwenye nchi
Kazi yake inaamuliwa na Rais. Ingawa yeye sio mwenye nchi, Rais akitaka anaweza kumfanya msaidizi wake Mkuu katika uongozi wake. Na nitashangaa kama akimpa kazi za kukata utepe tu mchumi mwenye sifa za alimteua kuwa Makamu wake.

Amandla...
 
Rekodi yake ya nyuma inasemaje!? Tuachane na elimu yake kwanza
 
Tulikuwa na Makamu wa Raisi Mwenye elimu ya Nuclear but madini ya Uranium yaliishia kuchimbwa wa Warusi kule Mikumi wakayamaliza wakasepa zao bila Malipo.. Huyu Mchumi ni Msaidizi wa Raisi Samia so Acha Kumsifia Msaidizi wakati Mwenye Kiti yupo.
Kabisa
 
Hivi kazi ya kuzunguka na mikasi na kuendesha nchi mbona ni mambo mawili tofauti?

Au 'mnaombea' awe Rais?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
KWA Iyo nchi kua mikononi mwa mchumi so yeye Rais wa nchi hii, mbona mnakua na mazalau KWA mh Rais, yeye ni msaidizi, na mshauri acheni Mambo yenu ,anaweza kushauri na akakataliwa atafanya nini, mpeni Rais heshima yake na mpeni VP heshima yake, maana maneno yenu naona mnaona Kama Kama mteule ndo Anakua rais wa tz kaeni mbali nchi inaongozwa KWA mjibu wa sheria nyie vipi
 
Mkuu achana na hiyo "heading"
Inaonekana mkuu ulisoma "heading" tu basi uka-reply. Soma tena vzr mkuu naona bado hatujaelewana..
 
Masikini Wamejaa Mitaani
 
Mkuu hebu funguka coz kama una kitu unataka kusema lkn unasita, hata kuomba CV yake siyo kwamba ulishindwa kuipata ila kuna ujumbe unataka kufikisha lkn bado, hebu funguka zaidi
Ha ha ha...niliiomba tu nothing more nothing less
 
Kumbe hiz tetez za mpngo clianza mapema
 
Ooh
 
Jf
 
Eeeeh[emoji44]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…