Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania chini ya dr inapaa sana kiuchumi sana kiuchumi isipokuwa arusha au siyo mkuu!Nyie Chadema msiwe ndumilakuwili CV ya ovyo hivi ingekuwa ya waheshimiwa wengine ungesikia kashfa zenu. Sasa tunaelewa kwa nini Lema yuko kama alivyo. Ni mtu wa hovyo sana. Lakini wafuasi wa Chadema ni watu wa ajabu. Tunamuongelea Lema katika nafasi ya ubunge sasa matusi ya baba zetu majumbani kwetu yanakujaje hapa? Lakini mbaya zaidi Lema ameifanyia nini Arusha tangu aingie madarakani? Mbona kama Arusha inarudi nyuma kiuchumi? Hiyo ndiyo siasa tunayoitaka sidhani. Let us call a spade a spade not otherwise. Thank you.
Fikiria kidogo CEO ni nani na anatakiwa kuwa na sifa zipi?I guess Umekariri mkuu au well ni shuleless as wellHiyo ndo style ya Makanjanja. Ujiko mwingi lakini hakuna kitu.
Kusikia hausikii hata picha uoni.
Pitia orodha ya wanafunzi waliomaliza Diploma 2008 Cambridge International College kama utalikuta jina la Lema.
Teh teh teh... Lema nae alikuwa CEO? teh teh teh!
mkuu punguza ushamba, kama mtu ni anamiliki kampuni ya kwake hicho cheo kinamuhusu. na si lazima kampuni iwe ya meli za kubeba pembe za ndovu wetu, mtaji wa chini kabisa kusajili kampuni Brella ni 5m,
Wewe ni nani mpaka useme CV ya Lema imejaa uongo? Vijana wa CCM akili zenu ni matope kweli kweli.
Teh teh teh... Lema nae alikuwa CEO? teh teh teh!
HATUHITAJI CV YA MTU TUNAHITAJI UCHAPAKAZI WAKE, baba yako anaCV nzuri amefanyia nini taifa??? Tuandikie tuone CV yake na kazi kafanya kwa taifa hapo tunaweza jadili, vinginevyo huna cha maana, kazi ni kwako
hivi hicho chama bila kuhusisha biblia bado hujakuwa kundini? mara mchungaji nani mbunge wa ..... mwingine mbunge...... padri mgombea ura... ntafatlia cv ya zito na arfi nao nizione.