Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

Mkuu Ritz, Cambridge International College ni distance learning ambapo kila mtu anamaliza kivyake kutokana na alijiunga lini. Kwa kutusaidia tu kama unaweza tuwekee list uliyonayo isilo na jina la Lema.

Mkuu Samaritan,

Unapinga halafu hapo hapo unaniambia nilete orodha, hata kama ni distance learning hawawezi kujua wanafunzi waliopata diploma 2008?
 
Last edited by a moderator:
...we ritz acha ukilaza,kwanza acha kukariri neno cambridge,naona ndo linakusumbua,husisha ubongo kufikiri, pili unachofanya ni kutuaminisha kwamba hao wasomi wako wa ccm wanaopokea taarifa za wabunge (chini ya spika na naibu wake) na kuweka kwenye
tovuti yao ni vilaza kupindukia kwa kuweka vitu wasivyovijua....

Hizo ni fikra zako naomba unipe jibu ebu angalia CV ya Lema, amesoma O level miaka 3, ni kweli?
 
Ningekuwa prince ningekuwa makini sana aina ya post ninazoleta hapa nikizingatia kuwa mimi ni nani and how much people know about me ili kupunguza fedheha inayoweza kunipata kwa kufunuliwa kwa mambo mengine mabaya zaidi. Kumbuka unapomnyoshea mtu kidole kimoja vingine vitatu vinakugeukia wewe. Huo.ni ushuri wa bure.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Lema, kamaliza O level kisha kaanza A level mwaka huo huo, teh teh teh.
 
yule mwenye first class degree ya uchumi, analisaidiaje taifa hili katika kukuza uchumi kama sio ndio analiingiza taifa katika machafuko.
 
Katika masuala ya kimaendeleo tunapom'asses mtu hatuangalii 'education signaling' tunaangalia 'perfomance' na mengineyo.......
 
Hizo ni fikra zako naomba unipe jibu ebu angalia CV ya Lema, amesoma O level miaka 3, ni kweli?

...ntakujibu lakini kwanza nijuze nani anaye maintain,kuweka na ku update taarifa za tovuti ya bunge...?!
 
sasa kama ana CV ya Uongo na bado anawahenyesha ccm basi huyu JAMAA ni genius ! kama hajaenda shule ya kutosha alimmwaga DR Batilda na elimu yake yote basi jua huyu mtu ana karama nani kiongozi wa watu, kama Kundi zima la wapiga kelele la ccm lilimshindwa hivi juzi kule Arusha akiwa na elimu yake ndogo basi jua huyu ni mti maalumu.
Kama Lema mwenye elimu ndogo anawabwaga ccm hata mahakamani basi jua ccm ni chama cha watu wasio na weledi wakutosha.

kama Lema mwenye elimu ndogo anaweza kuwakosesha usingizi ccm wote basi HUYU MTU ANABARAKA ZA MUNGU.
 
Yes CV ya Lema ameiandaa mwenyewe linalokuuma ni lipi hapo, kasema ana diploma na anaendelea na masomo :smile-big:
 
Wanaukumbi,

Hii hapa chini ni CV ya Lema imejaa uongo mwingi sana kuhusu elimu yake anasema amesoma Diploma na Degree Cambridge International College


Member of Parliament CV

SalutationHonourableMember picture
1748.jpg
First Name: Godbless
Middle Name:Jonathan
Last Name:Lema
Constituent:Arusha Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: glema@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 26 October 1976

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location Course/Degree/Award
Cambridge International College
Geita Secondary School
Kolila Secondary School
Kalangala Primary School
Cambridge International College

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Diploma[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Degree[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"] Todate [/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Arusha Urban Constituency
PTNChief Executive Officer (CEO)
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General
DENETRIADirector

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
Chama Cha Demokrasia na MaendeleoMember of Parliament
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General
Tanzania Labour Party, TLPCandidate, Member of Parliament

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008

[TH="colspan: 2, align: left"] PUBLICATIONS [/TH]

[TH="class: text_menu"] Description [/TH]
[TH="class: text_menu"] Date [/TH]
Hii nji kweli iko na wavunja mbavu wengi wa kutosha sana. Hizo ndio publications zilizopo kwa tovuti ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania! #OIB .
 
Mtoa mada aweke cv yake.
Mkuu unataka umkimbize JF, akiiweka ni aibu tupo ila tunaomfahamu ana certificate yake ya uwalimu kutoa Tutimba mwaka 1983, sasa hi mganga njaa hapa JF
 
Mkuu unataka umkimbize JF, akiiweka ni aibu tupo ila tunaomfahamu ana certificate yake ya uwalimu kutoa Tutimba mwaka 1983, sasa hi mganga njaa hapa JF

Sijawahi kusoma Tutimba wala sikijui hicho chuo cha Tutimba.
 
...ntakujibu lakini kwanza nijuze nani anaye maintain,kuweka na ku update taarifa za tovuti ya bunge...?!

Ofisi ya Bunge, wabunge wote wanapeleka CV zao ofisi ya bunge.
 
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Mkuu kuweka CV ya Lema ndiyo kumchafua.

Tunajua hamlali kwasababu ya lema bahati nzuri dunia ya sasa watu wanahakili za kupembua nyie bado mnafikiri mnaweza ku win kwa mtindo huu! pole sana mzee sibirini kimbunga kinakuja.
 
Diploma kaitoa wapi,huyu ni kidato cha pili hana shule zaidi ya hapo zingine sanaa tu na kuchezea watu wenye akiri ndogo kama wewe.
We mbona una akili fupi kama kimba! Ccm wotw wamefyata kwa lema, ni kiboko yao..
 
Tulipo sasa elimu ya mtu sio hoja kitaifa, hoja ni uchapakazi wake, Sokoine alikwa hajasoma lakini alipiga mzigo nani hafahamu, mrema je, wapo wengi; HII KASUMBA YA WASOMI KUBAKA KEKI YA TAIFA IISHE, nchi ni ya wachapakazi wote hata kama hujui kusoma na kuandika ila kama ni jembe napiga SALUTE KWAKO.
mkuu hata kawawa hakuoma lakini alikuwa anapiga kazi balaa!
 
Sijawahi kusoma Tutimba wala sikijui hicho chuo cha Tutimba.
Umejuaje kama ni chuo? hapa JF unavyowajua wenzio nawao wanakujua hivyo...Pole sana dogo hata kukanusha hujui, by the way upo kwenye ignore list yangu, waweza endelea tu< eti sikijua chuo, umejuaje Butimba ni chuo
 
Unaleta post alafu ukajijaza nusu nzima haipendezi kila baada ya mistari miwili unapost? Ni umbulula huo Ritz
 
Back
Top Bottom