Wasifu wa Naibu Waziri wa Ajira Eveline Munisi

Mfano hawa viongozi wengi hizo nafasi wangekua wanaomba kupitia ajira portal, wapite written.....practical afu oral hamna hata moja atakaepenya.
Kwa ule moto tunaopitishwa na utumishi hakuna kima angepita huo msoto zaidi ya kuforce connection zao basi!
 
Kwa CV hiyo ni aibu kubwa na mteuzi naye jamani, sijui anapewa na nani haya majina!! Hata kule kwenye tovuti ya Bunge wameogopa hata kuiweka hiyo CV isije ikaonwa na WaKenya!
 
Mimi na ka Bachelor kangu ka science nilikuwa naogopa kwamba sijasoma, lakini sasa hivi natembea kifua mbele maana mpaka ma hamnazo nayo yanaongoza nchi! Sasa kama huyu naye anajitambulisha ni Daktari!
 
 
Angeomba hata kundikiwa cv aisee
Hawa ''wadudu'' kwakupenda qualifications za ''online'' ni level nyingine. Huyu hata kama mtu ni mtaalam kuandika CV, atarekebisha nini? Kwamba umpe elimu ambayo hana? Ndiyo maana nchi inayumba halafu tunashangaa kumbe juu huko kumeoza. Hapo bado hujapewa ya aliyemteua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…