Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Duh.Inawezekana....
Huyo Migiro unaemsifia unajua alitokaje UN?Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
utajua kuwa na CV kali nijmbo moja na kuwa na utendaji uliotukuka ni jambo jingine.
Huko kwenye BARAKA ZA MUNGU tutakuja baadaye. Ngoja kwanza, usiwe na pupa.Uongozi sio CV Ni baraka za Mungu
Hapandipo nachoka. Mnamsingizia Mungu mambo ya ajabu kabisa. Mungu ndiye anayepanga watu waibe kura ili wawe marais?Uongozi sio CV Ni baraka za Mungu tu, Magufuli alikua na Elimu ya hapa na pale na akawa Rais wa nchi japo hakua kiongozi mzuri... Utagundua My gu humpa amtakaye
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Hao jamaa kila jambo wanampakazia Mungu.Hapandipo nachoka. Mnamsingizia Mungu mambo ya ajabu kabisa. Mungu ndiye anayepanga watu waibe kura ili wawe marais?
Winston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.Kwahiyo hapa unamaanisha kwamba samia ana UTENDAJI ULIOTUKUKA licha ya kwamba hana kisomo?
Sio?
Achana na habari za Winston Churchill. Turudi kwa Samia.Winston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.
Muhimu ni kwamba hakufukuzwa UN.Huyo Migiro unaemsifia unajua alitokaje UN?
Jaribu kufuatilia legacy yake huko UN ndiyo utajua kuwa na CV kali nijmbo moja na kuwa na utendaji uliotukuka ni jambo jingine.
Hii sio hoja iliyopo mezani.Kama Jiwe aliweza kuongoza JMT kwa miaka 5, yeyote ataweza.
Ni hivyo?Samia si alimpora Asha Rose nafasi. Na kamfukilia mbali asije kuonekana popote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko kwenye BARAKA ZA MUNGU tutakuja baadaye. Ngoja kwanza, usiwe na pupa.
Una CV ya samia?