Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya Samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya Samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
 
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Huyo Migiro unaemsifia unajua alitokaje UN?
Jaribu kufuatilia legacy yake huko UN ndiyo utajua kuwa na CV kali ni jambo moja na kuwa na utendaji uliotukuka ni jambo jingine.
 
Uongozi sio CV Ni baraka za Mungu tu, Magufuli alikua na Elimu ya hapa na pale na akawa Rais wa nchi japo hakua kiongozi mzuri... Utagundua My gu humpa amtakaye

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Hapandipo nachoka. Mnamsingizia Mungu mambo ya ajabu kabisa. Mungu ndiye anayepanga watu waibe kura ili wawe marais?
 
Winston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.
Achana na habari za Winston Churchill. Turudi kwa Samia.

Umesema kwamba Samia ana UTENDAJI ULIOTUKUKA licha ya kwamba hana kisomo?
 
Back
Top Bottom