Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Harafu ukiiona ndio itakuongezea ugali?

Watu wenye little IQ mna shida sana yaana yaani mnaamini Sana makaratasi yenu hayo.
Ndugu Huwa naona unacopy na kupaste data mbalimbali kujibu Hoja.

Hebu mjibu huyu Uchwara asijechukua point 3.

Bt at least watu wanaongea Awamu hii maana thread kama hii ingeshafutika mapemaaaa.
 
..swali liloulizwa ni rahisi sana kulijibu.

..tatizo ni uwezo mdogo wa Uv-Ccm ambao wanawajibika kutoa majibu.

..hoja zinapowekwa mezani, Uv-Ccm badala ya kujibu, hushtaki kwa Polisi kuwa wametukanwa, au kuna uchochezi.
Watu wako busy kulamba asali, nyie huku endeleeni kutafuta majibu ya CV.

Sio lazima wote tuhangaike na hizo CV. Mkizipata zifanyieni kazi mnavyotaka.

Sie tunachoamini ikiwa hata Magufuli alikuwa Rais basi hakuna atakayeshindwa kazi hiyo hapa Bongo
 
Unamaanisha nini bwana mkubwa?
CV ya Migiro inaweza kuwa ni kubwa kuliko ya Bi Samia ila hebu angalia alivyoingia kwenye Politics na kufikia alipofikia ni Bahati yake tu.

Na trust me amefit vizuri kabisa kwenye nafasi yake hiyo.

Wanawake na haswa wa Visiwani ni Smart mimi huwa namfuatilia sana Shangazi Bi. Fatma Karume ni Akili tupu.

Wanawake wapewe fursa zaidi huenda tukatoboa ka Taifa.
 
Ikiwa anaendesha nchi vizuri ,hizo cv za kuwapendezesha watu hatutaki . wananchi tunataka maisha Bora nchini
 
Hapa sasa nimekuelewa.

Kikubwa na cha msingi ni BAHATI β€” Haijalishi una kisomo au hauna.

Samia hana kisomo, lakini ameimudu nafasi ya urais ambayo aliipata kwa BAHATI.

Hapo tuko sawa sawa?
 
CV ya Samia ni: 2021

CV ya Samia ni hii: 1) 2021 -....... Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2) 2021 -...... Jemadari mkuu wa majeshi yote Tanzania
3) 2015 - 2022 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
4)
Safi sana, hao ndiyo ktk Cv zao wanaandika primary school. Hospital aliyozaliwa. Ukifuatilia vizuri utagundua wanachojaza ni Location.
 
Unajibu kirahc sana, sa ATAGOMBEAJE sa [emoji854][emoji854][emoji854]
Nini kugombea, sema ataendelea kuwa Rais mpk Mungu mwenyewe atakapoamua kwa sbb kuwa Rais nchi hakujawahi kuamuliwa na sanduku la kura wala CV za mtu.
Kama CV ndo zinampa mtu uRais basi Lipumba angeshakuwa Rais
 
Usinipeleke puta tafadhali.

Bado sijapatiwa CV.
Kumbe kweli una gubu tena una Nongwa.
Mana hata hueleweki unataka nini sasa.
Umeng'ang'ana tu oooh CV sijui PDF halafu ukiulizwa so what next unaona unapelekeshwa eti unasoma maoni.
 
Safi sana, hao ndiyo ktk Cv zao wanaandika primary school.

Haijalishi. Mradi ni CV iliyopatikana kwa juhudi na bidii.

Bwana hamna raha kama kujigamba kupata jambo lako ulilolitolea jasho.

Mimi hata shule ya msingi najaza, maana nilisota kweli kweli kwa miaka saba.

Lakini hizi titles za URITHI, mara sijui amiri jeshi mkuu!! Unapewa kwenye kisahani!

Ukifanya kazi kwa bidii unajitapa bwana. Hakuna wa kukubabaisha.
 
Sasa bibie we mwenye CV nzuri huna bahati unaishia kudanga tu, lilia bahati mbuuzi wewe
 
Sasa bibie we mwenye CV nzuri huna bahati unaishia kudanga tu, lilia bahati mbuuzi wewe
Labda anaona wivu kwamba ana CV nzuri lkn chini ya asokuwa na CV km zake.

Walikaririshwa darasani kuwa CV ndo inampa mtu cheo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…