Alikuja kukukomboa wewe japo utalikataa ila ndo uhalisia ili baadae arudi kwa baba. Sidhani km Mungu unayemuabudu ana mkewe.We unafuata Nan sasa mtu ambaye hakuwa hata na mke huoni kama mfuasi wa paulo una tabu usioe na wenye nyege zikusumbue maana umekuwa gay
Ilo dhehebu lenu labda huko makanisa ya huku hwaruhusiwi hata kuwek nywele dawa so kuwa makini unavyoongeaYote nayajua na huwa nayatembelea. Wanawake ni viongozi makanisani na wanahoji, wapo mama wachungaji na wapo masister.
Unataka kusema yesu ni mungu sasq mungu watakuwa wangapi 🤣🤣🤣Alikuja kukukomboa wewe japo utalikataa ila ndo uhalisia ili baadae arudi kwa baba. Sidhani km Mungu unayemuabudu ana mkewe.
😁 unayajua makanisa yanayotumia biblia ya agano jipya wewe? Ukiyajua ndo utaamini wapi ni wakristu wa Yesu Kristu.Ilo dhehebu lenu labda huko makanisa ya huku hwaruhusiwi hata kuwek nywele dawa so kuwa makini unavyoongea
Ulisoma SECONDLY gani muraHuyu inaonekana hata secondly hajasoma,sisi tuliosoma zamani kidogo kuanzia miaka ya 90 kushuka chini Mtu ulikuwa unamaliza shule na miaka 18-19,Sasa Samia kaolewa akiwa na miaka 19,hiyo secondly kasoma lini? kumbe ndio maana anatetea vyeti feki nae ana feki ndio maana mweupe kichwani.
Hata nikikuelezea hutaamini maana imani yako ishaminywa na mwarabu muoaji wa mtoto wa miaka 9. 😂😂Unataka kusema yesu ni mungu sasq mungu watakuwa wangapi 🤣🤣🤣
Unakuja kujifunga umeuliza mungu ana mke? halafu ujinga unaamini yesu ni mtoto wa mungu na yesu mama ake ni maria biblia imekujibu sio Mimi utajua mwenyewe na imani yko ya kutokea italy
Kumbe Kuna biblia zimkuwa updated 🤣🤣huyu shilla ,zumarida ,mwamposa ,kakobe Kila mtu ana biblia yake sio😁 unayajua makanisa yanayotumia biblia ya agano jipya wewe? Ukiyajua ndo utaamini wapi ni wakristu wa Yesu Kristu.
Ni taarifa ambazo ziko public huko kwenye majukwaa ya Google, Wikipedia na mengine. Mpaka hapo haziwezi kuwa "personal affair" bali ni wazi kwa ajili ya public consumption..Mod plz hiyo ni personal/family affairs sio suala la kujadili plz tuheshimu Raisi wetu
Jibu swali mungu mkewe ni Mariam kama unavyodanganywa 🤣🤣🤣Hata nikikuelezea hutaamini maana imani yako ishaminywa na mwarabu muoaji wa mtoto wa miaka 9. 😂😂
Kwani hiyo Cv imeandikwa na nani, siyo yeye mwenyewe?Mod plz hiyo ni personal/family affairs sio suala la kujadili plz tuheshimu Raisi wetu
Unatafuta vita mkuuMtume alioa mtoto WA miaka 9
Kuna agano la kale means kabla ya ujio wa Jesus Christ na Agano jipya means after Jesus christ na vyote hutumika maana ni maneno ya Mungu.Kumbe Kuna biblia zimkuwa updated 🤣🤣huyu shilla ,zumarida ,mwamposa ,kakobe Kila mtu ana biblia yake sio
Wote hao unaowataja hawakufika hata secondary, huyu aliacha ndoa akaenda kupiga kitabu ama? 😁
Uzuri wake Mimi nafuata dini za babu zangu nakwenda msituni naomba,kwenye mawe makubwa hizi za wakoloni siziweziUnatafuta vita mkuu
Mungu hakuoa, malaika alimtokea mchumba wa Bikra Maria na kumpasha habari kuwa mchumbawe ataibeba mimba kwa uwezo wa roho mtakatifuJibu swali mungu mkewe ni Mariam kama unavyodanganywa 🤣🤣🤣
Alishabaleh huyo ni sawa tu kwa mila za pwaniNaona aliolewa mwaka 1978,ilikuaje akakimbilia kuolewa akiwa binti mdogo kiasi hicho?
View attachment 2223348
Chuo kisichokuwa na mchongo hiko. Piga tiki hapo ni no doubt. 😂Mwanamke wa kwanza kuwa rais africa ni ellen serlef Rais wa zamani liberia. Yeye aliolewa under 18. Na akasoma mpaka havard akiwa kwenye ndoa na mume wake
Mkubwa sanaaaHapo kwenye elimu kuna ukakasi
🤣🤣🤣🤣Kwa situation hyo tunakubali Sasa he hapo yesu ni mwana wa mungu au munguMungu hakuoa, malaika alimtokea mchumba wa Bikra Maria na kumpasha habari kuwa mchumbawe ataibeba mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu