Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Harafu ukiiona ndio itakuongezea ugali?

Watu wenye little IQ mna shida sana yaana yaani mnaamini Sana makaratasi yenu hayo.
 
Dictator Robert Gabriel Mugabe alikua na zaidi ya 7degree za kusomea, angalia alichokifanya ndani ya nchi yake, Zimbabwe [emoji1269] imeoza na imetapakaza economic illegal immigrants sadc nzima, President Rawling wa Ghana alikua na elimu ya kawaida na akaiwekea msingi mzuri nchi yake, Leo Ghana ni shining example ndani ya Afrika, President Madiba pia bila hekima zake SA ilikua inaingia in civil war hasa baada ya kuuliwa Chris Hani, President Samia so far so good, slowly but sure nchi inaanza kurudisha heshima yake,kisiasa na kuichumi welldone
Hizi ni hadithi.

Una CV ya Samia?
 
Winston Churchhill alikuwa karani wa Benki kabla hajachguliwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza, alitokea kuwa kiongozi bora na anekumbukwa na kuenziwa katika historia ya taifa hilo.
Dogo, usikurupuke Winston Churchill ni kiongozi wa level ya Benito Mussollini, Adolf Hitler, Emperor Hirohito, Joseph Stalin, Franklin Roosevelt et al. Samia linganisha na Polepole aliyekuwa meneja pale NGO YMCA akaiba laki sita akafukuzwa.
 
Mtoto hachagui mzazi.

Wa kumlalamikia ni yule aliyekuwa na aleji ya wanawake weupe

Cv yake anayo mwenyewe, kiherehere kiwaishe.

..weee Mamndenyi are you crazy
 
Dogo, usikurupuke Winston Churchill ni kiongozi wa level ya Benito Mussollini, Adolf Hitler, Emperor Hirohito, Joseph Stalin, Franklin Roosevelt et al. Samia linganisha na Polepole aliyekuwa meneja pale NGO YMCA akaiba laki sita akafukuzwa.
Hahaha.

Aiseee...
 
Back
Top Bottom