Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Hakuna mahali pameandikwa alifeli Form IV. Kutokufanya vizuri haimaanishi kufeli. Pengine alipata Div IVHapa shughuli ipo.
Na tunaambiwa alifeli kidato cha nne.
Ngoja tuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mahali pameandikwa alifeli Form IV. Kutokufanya vizuri haimaanishi kufeli. Pengine alipata Div IVHapa shughuli ipo.
Na tunaambiwa alifeli kidato cha nne.
Ngoja tuone.
Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27, 1960 visiwani Zanzibar. Alisomea shule za msingi za Chawaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) na kati ya 1966 na 1972 na kisha akasomea masomo ya upili Ngambo, Unguja (1973-1975) na Lumumba, Unguja (1976).
Alisomea kozi mbalimbali hadi akafikia kupata shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Southern New Hampshire nchini Marekani.
Kazi
Aliajiriwa kama mchapishaji katika serikali ya Zanzibar mwaka 1977 na akapanda ngazi hadi kuwa afisa wa mipango serikalini kati ya 1987 na 1988.
Alihudumu pia kama meneja wa mradi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Zanzibar kati ya 1985 na 1997, na pia kama meneja mkurugenzi wa Mwamvuli wa NGO 1998 hadi 1999.
Bi Samia anasema kuwa njia yake ya ufanisi haijakuwa rahisi kama inavyodhaniwa.
''Safari yangu katika siasa imekuwa njia ndefu na yenye tija.''
Kimsingi ufanisi wangu katika siasa za Tanzania umetokana na uweledi na umakini katika kila jambo ninalolifanya.''
''Sio rahisi kuwajibikia familia yako wakati huohuo ukiendelea na maisha ya siasa elimu na majukumu mengine ya kikazi," anasema Bi Samia.
Familia
Aliolewa mwaka wa 1978, kwa Bw Hafidh Ameir, ambaye wakati huo alikuwa afisa wa Kilimo .
Walijaliwa watoto wanne.
Mmoja kati ya wanawe Wanu Hafidh Ameir (1982), ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar
Siasa
Alijiunga na siasa mwaka wa 2000.
Wakati huo alijiunga na bunge la wawakilishi la Zanzibar kama mjumbe maalum.
Haikuchukua muda mrefu nyota yake ikaanza kung'aa na akateuliwa kuwa waziri na rais Amani Karume, akipewa wadhifa wa Waziri wa Leba, Jinsia na Watoto.
Alitumikia taifa hadi mwaka wa 2005 alipochaguliwa tena na kuteuliwa upya kama waziri, wakati huu akipewa wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji katika serikali ya visiwani.
Mwaka wa 2010 alichaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo la Makunduchi.
Punde tu akateuliwa na rais Jakaya Kikwete kuwa waziri wa maswala ya muungano katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihudumu chini ya Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal.
Machi mwaka 2014, aliwania na kuchaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba nmjini Dodoma. Bi Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour ambaye alipata kura 126 sawa na 24%.
Julai mwaka 2015, Dkt John Magufuli alimteua kuwa mgombea mwenza.
===
First Name: Samia
Middle Name: Hassan
Last Name: Suluhu
Member Type: Elected Member
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 3021, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 774 010 203/+255 784 717 712 Office Fax:
Date of Birth 27 January 1960
EDUCATION
- School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
- Ziwani Primary School, Pemba CPEE 1970 - 1971 Primary School
- Mahonda Primary School, Unguja CPEE 1972 - 1972 Primary School
- Chwaka Primary School, Unguja CPEE 1966 - 1968 Primary School
- Ngambo SecondarySchool, Unguja CSEE 1973 1975 Secondary School
- Lumumba Secondary School, Unguja CSEE 1976 1976 Secondary School
- National Institute of Public Administration, Lahore Pakistan Course 1989 1989 Certificate
- Institute of Management for Leaders, Hyderabad, India Management Course 1991 1991 Certificate
- Zanzibar Institute of Financial Administration, ZIFA Statistics 1983 1983 Certificate
- Institute of Development Management, IDM, Mzumbe (Morogoro) Advanced Diploma 1983 1986 Advanced Diploma
- Manchester University, London Postgraduate 1992 1994 Postgraduate Diploma
- Open University Southern New Hampshire, USA M.A 2004 2005 Masters Degree
EMPLOYMENT HISTORY
- Company Name Position From To
- The Parliament of Tanzania Member - Makunduchi Constituency 2010 2015
- Ministry of Tourism, Trade and Investment, Zanzibar Minister 2005 2010
- Ministry of Labour, Gender Development and Children Minister 2000 2005
- Mwamvuli wa NGO Managing Director 1998 1999
- Revolutionary Government of Zanzibar Planning Officer 1987 1988
- World Food Programme, WFP - Zanzibar Project Manager 1985 1997
- Revolutionary Government of Zanzibar Typists (Typing Pool) 1977 1986
POLITICAL EXPERIENCE
- Ministry/Political Party/Location Position From To
- Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Unguja Region 2009 Todate
- Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Pemba Region 2004 2007
- Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2002 Todate
Utaumia sana, Sasa shule yako hapo wewe mwenye shule inakusaidia nini kama unaongozwa na asie na shule.Institute,Institute,Institute? Kuna shule kweli hapo?
JPM alikuwa na PHD na yenyewe Ben Saanane akahoji uhalali wake.Institute,Institute,Institute? Kuna shule kweli hapo?
Certificate kibao tena za india na pakistani
Watajaribu kurembe mwandiko lakini kiuhalisia pale hakuna shule yoyote na hata kwenye hizo institute bado hakuwa na cha kusema, halafu ile juzi wakati anazungumzia habari ya safari zake akadai "wenye akili ya kawaida ndo wanaolalamika" 😄Institute,Institute,Institute? Kuna shule kweli hapo?
Anaupiga mwingi sana na elimu yake inayodharaulika humu ndani. Anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana na watu wa mataifa mbalimbali, ni msikilizaji mzuri na anayekubalika kimataifa.Ni kazi iliyolingana na uwezo wake wa kisomo, siyo urais.
Elimu yenyewe ya ovyoAnaupiga mwingi sana na elimu yake inayodharaulika humu ndani. Anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana na watu wa mataifa mbalimbali, ni msikilizaji mzuri na anayekubalika kimataifa.
Elimu kuna wakati inakuwa ni mbwembwe tu za kishamba, Steve Harvey hana degree ya aina yoyote ni tajiri mkubwa USA.
Cristiano Ronaldo hana hata diploma, ni tajiri mkubwa anayelisha mamilioni ya watu na kusomesha wasio na uwezo duniani pote.
Punguzeni huu ushamba wa kupapatikia elimu.
Kwamba kila mwenye shule ni lazima atawale? Hivi hizi hoja nyingine huwa mnatoa wapi aiseeh.Utaumia sana, Sasa shule yako hapo wewe mwenye shule inakusaidia nini kama unaongozwa na asie na shule.
Institute,Institute,Institute? Kuna shule kweli hapo?
Kufananisha swala la kuongoza nchi na swala la kupata utajiri bila kisomo ndio ushamba wenyewe huo.Anaupiga mwingi sana na elimu yake inayodharaulika humu ndani. Anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana na watu wa mataifa mbalimbali, ni msikilizaji mzuri na anayekubalika kimataifa.
Elimu kuna wakati inakuwa ni mbwembwe tu za kishamba, Steve Harvey hana degree ya aina yoyote ni tajiri mkubwa USA.
Cristiano Ronaldo hana hata diploma, ni tajiri mkubwa anayelisha mamilioni ya watu na kusomesha wasio na uwezo duniani pote.
Punguzeni huu ushamba wa kupapatikia elimu.
Mie ni muislam naomba mwenyezi mungu anisamehe.... ila mtume kuoa mtoto wa miaka 9 ilikuwa ni tamaa binafsi tu.
Anaupiga mwingi sana na elimu yake inayodharaulika humu ndani. Anao uwezo mkubwa wa kuwasiliana na watu wa mataifa mbalimbali, ni msikilizaji mzuri na anayekubalika kimataifa.
Elimu kuna wakati inakuwa ni mbwembwe tu za kishamba, Steve Harvey hana degree ya aina yoyote ni tajiri mkubwa USA.
Cristiano Ronaldo hana hata diploma, ni tajiri mkubwa anayelisha mamilioni ya watu na kusomesha wasio na uwezo duniani pote.
Punguzeni huu ushamba wa kupapatikia elimu.
Angekuwa hana elimu asingeweza kuimaliza miradi yote aliyoachiwa na hayati JPM na kuanzisha mingine.Kufananisha swala la kuongoza nchi na swala la kupata utajiri bila kisomo ndio ushamba wenyewe huo.
Kuna vitu vinahitaji elimu bila kupepesa macho, leo hii umpe Msukuma urais kisa anamiliki mali?
Kuna mawaziri na manaibu ni maprofesa na madokta na wamepewa nafasi ya kufanya kazi pasipo kuingiliwa wala kufuatwafuatwa.Lkn Harvey ni Comedian na Ronaldo ni footballer na wamelipwa na kutajirika kwa kazi zao, sijaona ulitaka kumaanisha nini, kwamba unalinganisha Steve Harvey failure yake kwenye Elimu na kushindwa kumaliza Chuo na Raisi wetu au ?
Nijuavyo mimi Ronaldo au Harvey hawaongozi nchi ni watu binafsi, raisi yuko responsible na maisha ya watu zaidi ya milioni 45, hivyo hiyo siyo kamali ni maisha ya watu , na ni sawa kabisa watu hao kuhoji uwezo ikiwa ni pamoja na Elimu ya anayewaongoza!
Wao wapite tu wajionee ili hata kama kuna kasoro fulani wanaziona kwenye nchi yetu kwa sasa, wasianze ku-guess bila majibu.Angekuwa hana elimu asingeweza kuimaliza miradi yote aliyoachiwa na hayati JPM na kuanzisha mingine.
Nimewaongelea hao mastaa wasio na elimu lakini wana pesa nyingi katika kuonyesha ushamba unaotesa watanzania wengi wa kuabudu uprofesa na sifa nyingine za kitaaluma.
Elimu yake ni ya kawaida sana lakini vipi kuhusu wasaidizi wake? na wao hawana elimu. Profesa wa Elimu yule mrombo nae hana elimu?, Ndalichako hana elimu?.
Tuache kuendekeza mada za kipuuzi kama hizi. Wasiokuwa watanzania wanapopitia JF na kukutana na utoto kama huu wanatudharau na kutupuuza sana.
Kuna mawaziri na manaibu ni maprofesa na madokta na wamepewa nafasi ya kufanya kazi pasipo kuingiliwa wala kufuatwafuatwa.
PHD ya JPM na yenyewe ilikosolewa na Ben Saanane na wajuaji wengine wa humu jukwaani. Tumuache SSH apige kazi kwani anaiweza sana na amerudisha heshima yetu kimataifa, Ameweza kwa vitendo kuzitetea rasilimali zetu kwa kiwango cha juu sana.
Hoja mezani ni elimu ya SSH nikasema hao wasaidizi wake ni maprofesa tena walikuwa sehemu ya awamu ya tano.JPM alisomea UDSM na records zipo kama ina mushkeli UDSM wangeshasema huyo Saanane ndo nani hapo UDSM ? Isitoshe kuhusu hao Maprofesa inategemea Bosi wao yukoje, kwa mfumo wa Tanzania hakuna kitu kama kufanya kazi pasipo kuingiliwa kila kitu kinategemea na Raisi aliyeko madarakani hakuna kitu Profesa au expert yoyote atafanya kama raisi siyo, wakati wa JPM watu walipiga kazi tuliona Maprofesa wa Sheria, Kemia wakipigania nchi hata Barrick kukubali kutulipa 300 Million USD, Wahandisi walijenga flyovers wengine walishughulikia Bwawa la Nyerere, reli ya tazara ilitumika kushafirishia mizigo ktk Dar mpaka Site Rufiji kabla ya hapo tazara ilisha kufa, reli ya Dar- Moshi-Arusha ilishafufuliwa na kuanzia kazi, treni ilifika Arusha yote haya tuliyaona yakifanywa na Wataalamu wetu na mengine mengi tu kama nyumba kujengwa na wahandishi wa Serikali mfano hosteli ya wanafunzi UDSM, mashine za kuhudumia wagonjwa Muhimbili zilifanya kazi kwa hata Umi Mwalimu ni shahidi na anamkumbuka Magu kila uchwao kwamba walifanya kazi vizuri, Maziwa yote yaliotuzunguka yalijengewa Meli mpaka Ziwa Nyasa na Wataalamu wa Tanzania walitumika, orodha ni ndefu sana , …
Hoja mezani ni elimu ya SSH nikasema hao wasaidizi wake ni maprofesa tena walikuwa sehemu ya awamu ya tano.
Angekuwa hafanyi kazi kwa kuzingatia weledi makusanyo TRA yangeshuka, mabenki yangeshindwa kutoa mikopo kwa wananchi.
Angekuwa hana elimu hiyo miradi ya ujenzi wa reli ingesimama mpaka muda huu lakini ndio kwanza SGR inakwenda kumalizika.
Hizi nongwa zote sababu SSH ni mwanamke halafu mzenji, hatukutegemea JPM kama angefariki hivyo hata urais wa Samia kwa mujibu wa katiba unaonekana kama ni wa bahati mbaya. Kuna watu walishajiweka katika nafasi za kiutawala kuanzia awamu ya tano hao hawawezi kukubaliana na ukweli kuwa mambo yamebadilika na ni kwa mapenzi ya Mungu mwenyewe sio ya binadamu.