Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Great point bro! Huyu mama siju alitokea wapi hadi akawa mgombea mwenza 2015, maana hakuna aliyekuwa anamjua kabla ya hapo. It's about time people question her real (family) background, as it remains a mystery to many Tanzanians to date.
[emoji15][emoji15][emoji15]

Yaani hujishughulishi kujua vitu vidogo hivyo ?!!!

Unauliza kwa "emotion" kana kwamba uulizalo ni jambo lenye kificho kikubwa?!!!

Mh.SSH ni maarufu toka akiwa mkurugenzi wa NGO's Zanzibar....akaja kuwa mbunge....akaja kuwa waziri Zanzibar.....akaja kuwa waziri wa muungano wa JMT....akaja kuwa makamu wa Rais....amepitia chekeche haswa kuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM zaidi ya miaka 20....leo ni chifu mkuu wa machifu Tanzania.....[emoji2956][emoji2956]

#Aishi Milele Chifu Hangaya ,amen[emoji120]
 
Kwanini mnamficha Baba wa Rais , mbona Wajomba zake wa Oman tulionyeshwa ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Bado sio hoja hata kama babake, ankali zake ni wakutoka huko unapotaka kutuaminisha kipumbafu bado yeye ana uhalali kwa kuwa ni raia wa Tanzania! Kumbafu zako Huna exposure wewe na ndugu zako wote mpo bongo umebakia kupika majungu Jf. Shenzi Kabisa nyaulino wewe!
 
Kwanini mnamficha Baba wa Rais , mbona Wajomba zake wa Oman tulionyeshwa ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Unamaanisha nini kusema wajomba wa Oman?!!!

Wamakunduchi hawana uhusiano na waomani.... wamakunduchi ni wahadimu....wahadimu wametokea pwani ya bara.....

Ila Omani hata ndugu zako wanaweza kuwa wamekwenda kama ilivyo kwa kaka zako akina Tuntufye wa Chicago....
 
Naomba nijue wazazi wa mama yetu, sijawahi kuona makala Wala popote wakioneshwa au kusimuliwa. Imekuwa tofauti Kwa watangulizi wake hayati Magufuli wazazi wake wamesimuliwa na mama yake Susanna picha zake zinajulikana, Mzee wake apumzike Kwa amani. Pia mama mlezi wa JK amehojiwa na akaweka wazi kuwa wazazi wa JK walitangulia mbele za haki, mwenyezi Mungu awarehemu.

Kwa mama, yeye alisema baba yake alikuwa mwalimu, hajataja zaidi.

Vyombo vya habari hakuna vilivyomtaja, kama yupo au ametangulia.

Naomba wakuu mnisaidie kujua jina la Babu yetu, tumpongeze Kwa kuzaa mtoto mzuri, anaongoza vizuri na hakika alistahili kuwa alivyo.
Anaitwa Gida budhai
 
Magufuli ndio kitu gani labda?
 
Duuh ila watu jamani khaaah
Kila mwaka Kuna sherehe za jadi huitwa Mwaka Kogwa....wakienda Kizimkazi wataoneshwa maswahiba wa mwalimu Suluhu Hassan....akina mzee Ameir ,mzee Kidigwa na wahadimu wengine....
 
Baba yake ni marehemu Mzee Suluhu Hassan.

Kaka yake ni Rashid Suluhu Hassan.

Dada yake ni Mgeni Suluhu Hassan.

Kwa mujibu wa makala hii ya BBC.
---

Akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Watanzania wamekuwa na hisia na mitazamo mbalimbali juu yake.

Lakini familia yake na watu wake wa karibu wanamfahamu vizuri kuliko ilivyo kwa watu wengine .

Rashid Suluhu Hassan ni kaka wa Rais Samia anasema jitihada anazozionesha hii leo , alianza tangu akiwa mdogo.

''Alikuwa mtu ambaye ana ari ya kusoma, bidii ya kusoma, alikuwa anapenda kuambiwa soma uwe kama mtu fulani, unamuona kaka yako hapa kwasababu Baba yetu alikuwa mwalimu, hivyo openness alikuwa nayo tangu zamani sana kwa hiyo watoto wake alikuwa akiwaachia nafasi''. Alisema Bw. Rashid.

Kaka yake anasema hakuna yeyote kwenye familia aliyewahi kuwa na ndoto kuwa siku moja atakuwa kiongozi...

''Hakuna mtu alijua.. kama ingewezekana kumfufua marehemu Mzee Suluhu sasa hivi akaamka ukamwambia leo Samia ni rais atakushangaa sana''. Alisema Bw. Rashid

Mgeni Suluhu Hassan ni dada wa Rais Samia anasema hakutarajia mdogo wake kushika nafasi ya juu kabisa ya uongozi nchini Tanzania.

Lakini pia hakushangazwa pia kutokana na rekodi yake ya kushika nafasi mbalimbali akipanda hatua kwa hatua.

''Kapita kwenye nyanja nyingi akianza tangu chini kabisa, mpaka akawa mbunge, kaliongoza bunge la katiba pia, anaweza na anajitahidi kuweza na ataweza''.

Tumsaidie na kumshauri vizuri.'' alisema Bi.Mgeni

Chanzo cha picha, Ikulu Tanzania

Chanzo: BBC

Mkuu Kiranga , nimeisoma post yako nikaguswa na kujisikia shame on Tanzanian media!. Look at the good work BBC wamefanya!. Samia ni rais wetu, sisi local media zetu tupo, kumjua rais wetu ni mpaka media itoke all the way from London!. Shame!, shame!, shame! all Tanzania local media, Pascal Mayalla inclusive!.
Halafu tukiambiwa local media ya Tanzania ni ovyo, tunajifanya kukasirika kuwa tunaonewa!.
P
 
Mkuu kamarada PM ,hivi alikuwa ni Fareed Zakaria wa CNN aliyesifiwa na hayati Rais Mkapa kwa kuuliza maswali "credible" na kufanya upembuzi yakinifu kabla ya maswali yake ambacho ni kinyume na aliowaita "makanjanja" wa hapa nyumbani ?!!![emoji1787]
 
Back
Top Bottom