Nimekusoma kwa makini na heshima kubwa.Mkuu Kalamu uwezo wako wa kiuchambuzi ni mkubwa zaidi ya ulichokiandika hapa......
Mh.Rais SSH kwao ni Kizimkazi....amepita katika machujio ya kizalendo kufikia hapo alipo.....wamakunduchi ni wahadimu Kutoka huku bara... wamakunduchi wanajulikana kwa umakini wao na kuupenda uafrika.....wamakunduchi wanajulikana kwa UKOMREDI wao juu ya CCM......
Mh.Rais SSH ameshawahi kuwa mkurugenzi wa NGO's Zanzibar.....ameshawahi kuwa waziri wa utalii.....ameshawahi kuwa waziri wa muungano wa JMT......unadhani ni kwa bahati mbaya?!!!
Huyu mama yetu ni zaidi ya umuonavyo na umjuavyo....ni komredi haswa....kwake Tanzania kwanza kabla ya nafsi yake......
Wanaomjua watakuwa wanaisoma comment hii kwa furaha kubwa.....
#Aishi Milele Chifu Hangaya amen[emoji120]
Ngoja niishie hapo kwa sasa.
Niseme tu kwamba hizo sifa ulizoweka hapo zinajadilika, na siyo kigezo tosha cha kuwa hapo alipo sasa.