4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wewe umezaliwa mwaka gani kwanza ? Je shulen ndo mahali pekee mtoto asipo kula anapata utapio mlo?Kwanini hivyo vyakula havipelekwi mashuleni mnawaacha watoto wanashinda njaa na kudumaa kwa utapiamlo? Acha unafiq mkuu.
Je unajua tz kwenye shule za Msingi wanafunzi walikua wanaenda shule na kutoka saa 6 kwenda kula nyumbani na kuludi shuleni saa 8 mchana kuendelea na masomo? Na wengi waliopitia mfumo huu wametusua ndo baadhi ni viongozi wako, walim wako huko vyuo vikuu
Kumbuka kila NGO hutafuta mahali pa kutokea , zinaanzishaga vitu alafu wakisha piga maokoto biashara huishia hapo, yani inawezekana vipi chakula cha mlo moja au mitano kwa mwezi uweze ondoa utopia mlo?
Kwanini familia maskin kama zimebainika zisiwezeshwe mtaji ili kuweza kumudu kununua maitaji ya mlo kamili katika kujenga mwili kupita hizi NGO, badala yake unalenga walioshuleni vipi wale ambao bado kuanza shule.
Mpango wala sio wa kuondoa tatizo bali ni kupapasa tatizo tu ilihali watu wapige maokoto,
Mtoto unamlisha wali wa virutubisho shulen mchana akienda nyumbani analala njaa , so vicalories yote alivyo pata mchana mwili unavitua hata ambapo havihitajiki ili kufanya compensation kwa mahitaji ya mwili ,sasa ndo nini
Kwanini hivyo vyakula havipelekwi mashuleni mnawaacha watoto wanashinda njaa na kudumaa kwa utapiamlo? Acha unafiq mkuu.