Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Kwanini hivyo vyakula havipelekwi mashuleni mnawaacha watoto wanashinda njaa na kudumaa kwa utapiamlo? Acha unafiq mkuu.
Wewe umezaliwa mwaka gani kwanza ? Je shulen ndo mahali pekee mtoto asipo kula anapata utapio mlo?

Je unajua tz kwenye shule za Msingi wanafunzi walikua wanaenda shule na kutoka saa 6 kwenda kula nyumbani na kuludi shuleni saa 8 mchana kuendelea na masomo? Na wengi waliopitia mfumo huu wametusua ndo baadhi ni viongozi wako, walim wako huko vyuo vikuu

Kumbuka kila NGO hutafuta mahali pa kutokea , zinaanzishaga vitu alafu wakisha piga maokoto biashara huishia hapo, yani inawezekana vipi chakula cha mlo moja au mitano kwa mwezi uweze ondoa utopia mlo?

Kwanini familia maskin kama zimebainika zisiwezeshwe mtaji ili kuweza kumudu kununua maitaji ya mlo kamili katika kujenga mwili kupita hizi NGO, badala yake unalenga walioshuleni vipi wale ambao bado kuanza shule.

Mpango wala sio wa kuondoa tatizo bali ni kupapasa tatizo tu ilihali watu wapige maokoto,

Mtoto unamlisha wali wa virutubisho shulen mchana akienda nyumbani analala njaa , so vicalories yote alivyo pata mchana mwili unavitua hata ambapo havihitajiki ili kufanya compensation kwa mahitaji ya mwili ,sasa ndo nini
Kwanini hivyo vyakula havipelekwi mashuleni mnawaacha watoto wanashinda njaa na kudumaa kwa utapiamlo? Acha unafiq mkuu.
 
Waislamu hoyeee. Waletewe msaada wa vitu wasivyokua navyo kama ndege , magari n.k . Hii nimeipenda sanaa.

Tukatae kusaidiwa kwa chochote, labda kuwe na majanga ya asili.

Yaani wanakataa vyakula, huku wanakubali kujengewa vyoo, kupewa bure dawa za ukimwi, chanjo zote za watoto na madawa ya cancer.

Watoe tamko kuwa hawatatumia msaada wowote wa wazungu unaohusisha kuingiza ndani ya miili yao.
 
R.I.P Magufuli

Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.

Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomeshea watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
Sasa umeanza upuuzi usnge wako kwenye jambo la maana kama hili! Rubbish
 
Dar ,pwani ,Tanga na maeneo yenye idadi kubwa ya waisram imejaa wazee wenye mabusha kisa walikataa chanjo eti wakristo (wazungu ) wameleta dawa ya kuwazuia kuzaa .hawa wavaa kobazi vichwa maji Sana

USSR

Na kila mwaka wanaletewa nyama za mbuzi toka Saudia. Hivi hatuna mbuzi wa kutosha nchini?
 
R.I.P Magufuli

Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.

Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomeshea watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
Una kumbukumbu ya NAPE AKIPINGA UJENZI BUNGENI? KAMA HUNA ITAFUTE, NA NAPE NI CCM nadhani ungemuongeza hapo kwenye list
 
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
Hao ni wanafki tu na kutaka kujitutumua waonekane
 
Waislam wako sawa na wana uhuru wa kuukataa huo mchele.
Na Kwa wakristo kama wanaona unawafaa ni fursa nzuri kuchukua chakula cha kutosha wakale na familia zao.

Ila usiseme ni ubaguzi wa kidini maana hamna dini inaitwa marekani, zipo nchi nyingi ambazo hazikubaliani na marekani na siyo nchi za kiislam.

Serikali itoe uhuru, kwa wanaotaka kuuchukua huo mchele wauchukue.

Ila waislam tena wasije wakaja na malalamiko kuwa Serikali inawabagua waislam katika kupewa mchele wa bure.
 
Porojo za uswahilini hizi.
Na kweli huko Uswahilini mtabaki na porojo wakati walio werevu wanapokea msaada huo wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani uliolengwa kwa watoto walioathirika na Utapia mlo uliokithiri mashuleni. Nyie kalaghabaho.
 
Kwani sahvi hamna masboga
Media zenu zenyewe, imejaa wsng kibao

Mitaani huko sehemu za starehe ndy msiseme...pita sinza huko uone walivyojaa wsng alafu mnajifanya mnapinga ushg

Ova

Jambo la ajabu, kwa Tanzania mashoga wamejaa zaidi maeneo ya pwani ambako kuna idadi kubwa ya waumini wa kiislam.
 
R.I.P Magufuli

Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.

Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomeshea watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
we ni mpumbavu na mshamba km huyo mfu wako. Jitu zima kila mara linamwaza mfu, alikuwa anakusghukikia nini. Msukuma ni msukuma tu, lishamba lisilojielewa. Huyo mhutu wako ameshakufa mfuate we boya
 
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. 😀😀😀😀😀
😂😂😂😂😂
 
Kuna vitu vingi ninawapingaga radio imani! Kwa hili niko pamoja nao 100% Hao mashetani ya mangaribi yana mbinu nyingi sana za kutumaliza! Pale tutakapoweza tupinge kwa nguvu zote! Hivyo viNGO vinavyojipendekeza kwa hao viangaliwe kwa jicho la tatu.
Ninaandika haya kwa uzoefu mkubwa! miaka mitatu iliyopita NGO ya huko marekani ilikuja na mpango wa kuleta tani nyingi za mahindi kutoka marekani.
1. Ushauri wa kwanza nilioutoa ni kuleta fedha hapa TZ ili chakula kinunuliwe kutoka mikoa yenye ziada (the big four) kuleta kwenye mikoa yenye changamoto WALIKATAA
2. Ushauri wangu wa pili ni kuwa wasaidie kujenge uwezo wa uzalishaji wa ndani utakaotosheleza nalo WAKAKATAA WAKISEMA SIO KIPAUMBELE CHAO
Hawa watu wana agenda mbaya for sure hata kama tuko vulnerable katika maeneo mengine mengi lakini pale tutakapoweza tuwakatalie!
Lengo lao kwa umoja wao!
1. Hawataki uchumi endelevu utakaleteleza kujitawala. Mifano ni mingi mno!
2.. Watahujumu hata uhai kwa muda mrefu ili kujihakikishia maisha kwenye hii sayari yetu dhidi yetu!

Big up Radio imani!
Yeyote alienda kupitisha huu upuuzi awajibishwe haraka! Hata huyo Bashe alikuwa wapi mpaka huu uchafu ukaingia nchini ATUPISHE
1. Wamarekani sio wanaokwamisha uchumi bali ni majizi na mafisadi yaliyojaa ndani ya CCM yenye matumbo makubwa kama mapakacha na yasiyojaa kamwe.
2. Kama wamarekani wangrkuwa wanataka kuhujumu afya wangeshindwa kupitishia kwenye chanjo na dawa?
3. Mchele umepimwa na TBS na umekuwa proved kuwa fit for human consumption. Kama waislamu hamuutaki, tuachie sisi wagalatia tule, isiwe tabu.
1710844901007.png
 
Serikali itoe uhuru, kwa wanaotaka kuuchukua huo mchele wauchukue.

Ila waislam tena wasije wakaja na malalamiko kuwa Serikali inawabagua waislam katika kupewa mchele wa bure.
Ushauri mzuri waweke uhuru anaetaka achukue hapo hakuna atakae kuwa na nguvu ya kusema kabaguliwa.
 
Wewe mwenyewe umesema "kwa wakristo", tayari ni ubaguzi. Naona mwaka huu waarabu wamesahau kutuletea msaada wa "tende"! Hii ndiyo misaada pendwa ikifika inatugombanisha misikitini.
Ubaguzi hauwezi kuacha kuwepo duniani upo tangu enzi na enzi na utandelea kuwepo wewe mtu mweusi utaendelea kuonekana binadam wa nyongeza hapa duniani

Kila kitu unacho ila utaendelewa kuletewa msaada hadi wa mboga za majani maana hujitambui na unapenda kutegemea
 
Back
Top Bottom