Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Swali langu lilikuwa kama kiwakilishi kwa waziri kuwa je na tende wanazotupa zimepimwa!?
Au ndo wanaamua kutilisha matango pori tu kisa vita ya kibiashara ya wauzaji wa mchele kutupa taharuki kiasi hicho.
Ni taharuki tu haiwezekani tuna shirika la viwango alafu mchele upenye mpaka ufike kwa wagogo huko ndo waje wasema hauwataki..
 
Hapo kuna hoja. Hoja iko hivi: 1. Kama Taratibu za kutoa Tenda hazikuzingatiwa basi utoaji wa bandari kwa mwekezaji mmoja zilikuwa biased.
2. Kama kila maamuzi yanayofanywa wapo watu wanatanguliza maslahi ya Udini basi hii nchi haitakaa ikatulia kutokana na baadhi ya watu kuwa na hulka ya kuzusha na kukuza mambo bila kuwa na uhakika na kile wanacholalamikia.
 
kwanni mbona hajatukana
Labda nimesoma vibaya au ki-inglishi changu nnakijua mwenyewe, ila nimeona hapo kamtaja mama wa inji hii kuhusu vitendo vyake halafu akamalizia na neno stupid.
 
Bashe na sakata la sukari, bashe na msaada wa mchele toka marekani, kauli zake zinabeba udiniudini tu ndio maana watu wa dini yake wamerukia mtazamo wake huo hasi. Watu wa dini yake nao ni wapuuzi wasiojua kupembua mambo kwa kina na kuja na majibu sahihi kwa ndugu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…