HIvi kwenye yale mambo ya bandari kuna maswali ya wananchi yalijibiwa badala ya kukamata na kuweka ndani? Wakili Mwabukusi na Dr Slaa ni wahanga! Bado unaona ni vyema bandari zote apewe mwekezaji mmoja! Umeuona ule mkataba!?? IGA etc. Kuna mambo yanaendelea hapa nchini! Kila wakati Wananchi wakiamua kupigia kelele kuhofia raslimali au maslahi yao utaona lihoja likija hasa UDINI!
Hebu ona sakata la bandari lilivyotaka kuuliwa kwa UDINI. Tuwape waarabu kwa vile ni waislamu wenzetu/Tusiwape waarabu kwa sababu ni waislamu.
Sualo la Mchele kutoka marekani! HIvyo hivyo
Narudia ni lazima kuna mbwa wa TISS wanaovuruga mijadala ya kijamii hapa!!