Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Kwani sahvi hamna masboga
Media zenu zenyewe,Imejaa wsng kibao
Mitaani huko sehemu za starehe ndy msiseme...pita sinza huko uone walivyojaa wsng alafu mnajifanya mnapinga ushg

Ova
Mtaani wanaweza kuwepo mashoga wenye majina ya kiislam lakini katika uislam ushoga ni haram na hauruhusiwi yeyote anaefanya ni madhambi na ni kinyume na uislam

Hali ni tofauti na huko upande wa wakristo ushoga siyo kitu cha ajabu hadi Papa karuhusu wapewe baraka ndani ya makanisa, na marekani pia kaanzisha kampeni za kuutetea.

Hapo ndo ilipo tofauti
 
Suluhisho litatolewa na wasomaji mkuu
 
Hoja yako ingekuwa na maana kama ungeondoa udini.
 
Yani Mchele wa marekani ndiyo utugawe kati ya wakristo na waislamu wa Tanzania!!?

Akili za wapi hizi?
Aliyepokea msaada wa mchele badala ya sukari au computer ndiyo anatugawa.
Zawadi zingine ni za kudhalilishana.
Hatuna njaa wala uhaba wa nafaka kwanini wasipeleke Kenya, Sudan, na kwingineko kwenye uhaba wa chakula?
Hawawezi kusema "Asante lakini hapana hatuhitaji mchele"?
 
Hii tabia ya kufuata mikumbo ni mbaya sana.

Hao waliotoa hilo tamko kwani wamelazimishwa kula au kuwapikia watoto wao?

Wakati mwingine wafuasi wa dini zetu wanatutia aibu mbele ya jamii.
 
Shida ni Elimu tu. Unadhani tatizo ni kubwa sana? Ni ukosefu wa Elimu. Kule Gaza wanaopokea msaada wanakubali kutoka nchi hizi za Kikafir na wanakula wanaendelea mbele. Nchi zenye imani moja nasi hazitoi msaada.
 
Ashakufa tayari
 
Famasihara nini🀣
 
Yani Mchele wa marekani ndiyo utugawe kati ya wakristo na waislamu wa Tanzania!!?

Akili za wapi hizi?
Ajabu sana

Ni uhakika Waislam watakuwa wa kwanza kula huo mchele. Hao wanaopiga kelele huko Imaan si wamevimbiwa. Subiri wale wenzao wasio na uhakika wa kula wapate huo mchele uone watakavyo uchangamkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…