Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

R.I.P Magufuli

Sasa tunaletewa vitu vya kijinga badala ya kuletewa vitu vya maendeleo kwa nchi yetu.

Ni wamarekani hawahawa kwa kumtumia mamluki Tundu Lisu wanayemsomeshea watoto wake walipinga ujenzi wa bwawa la umeme alafu wanajifanya wanatupenda sana kutuletea mchele!!
Tundu alikufanyia kitu gani ....akili ndogo sana hii
 
Mkuu nilitaka nipite kimya kimya baada ya kusoma comment yako,coz sipendagi kujadiliana mambo ya dini.

Ila uliopoleta hoja ya msalaba wa papa kwenye quote ya Bams ,ndiyo nimeamua kukujibu maana umemjibu kwa dharau na kejeli badala ya kutaka kuelimishwa kuhusu msalaba wa papa na zile rangi.

Kwa kukusaidia ingia google mwenyewe ukajifunze kuhusu zile rangi maana humu ndani zimejadiliwa sana. Kiufupi hazina uhusiano na rangi za ushoga 🌈. Ziko tofauti sana na zinaelezea maana yake.

Tuache kukashifiana kuhusu dini wakuu.
Kwahiyo papa alivyotoa maelekezo ya kubariki ndoa za mashoga yuko sawa au hayuko sawa?
 
Afrika ni utamaduni wetu kukataa kwa mara ya kwanza vitu tunavyopewa na wazungu. Saivi hapa watu wanauongelea mchele kana kwamba ndo msaada pekee tunaoletea na wazungu, mbona hawajaji vingine kama madawa na chanjo za watoto clinic
 
Sio kweli.Uislamu haujakataza kujitibu,ni dini peke yake duniani,iliyohimiza kujitibu,ukiumwa,ukiwa mwanamke au mwanaume.Na pia ni dini peke yake ya kiislamu,ilihimiza kutafuta elimu kwa mwanamke na mwanamme,bila kubagua.Nq ndio ukaona vifaa vyote vya dunia,vinatumia ugunduzi wa Muislamu,Mohammed Alhawarthim(Algorthim).Bila Algorthim,dunia ingekuwa ngumu,kila unachpkiona duniani,kilichotengenezwa na binadamu,ni kupitia algorthim(Mohammed Alhawarithim).Information technology yote,inatumia algorithim(Muhammad Alkhawarithim).

Ubaguzi hauwezi kuacha kuwepo duniani upo tangu enzi na enzi na utandelea kuwepo wewe mtu mweusi utaendelea kuonekana binadam wa nyongeza hapa duniani

Kila kitu unacho ila utaendelewa kuletewa msaada hadi wa mboga za majani maana hujitambui na unapenda kutegemea
Tanzania tulilishwa na marekani wakati wa njaa ya siasa za ujamaa, kabla ya hapo shule zote zilipewa maziwa ya unga, mafuta ya kula na burga toka marekani na hatukuwahi kuwa mashoga.
Waarabu wanatuletea msaada wa tende! Xikifika tunarushana kwa uroho na uchoyo.
 
Wafanyabiashara wetu hawa aminiki kabisa unaweza kuta huo mchele tumesha kula. Hii ni hatari kubwa sana. Tujifunze kuwa na ukomo wa kupokea hivi vizawadi.
 
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
Mi wanigawie huo mchele nije niwapikie nguruwe wangu na mabata bila kusahau makuku yangu bandani
 
Ata Sasa hivi mbona Kuna tatizo la umeme? We acha kumshabikia yule shetwain. Hana maana yoyote yule. Kalazimisha mitambo iendelee mpaka imechoka, angekuwepo nchi ingekuwa gizani, na ukiongea unatekwa. Afie zake huko.
Unaongea mihemko.
Tatizo la kuwa gizani sasa hivi ni uzembe wa serikali ya sasa.
Walianza na sababu ya shughuli za kibinadamu,wakaja sababu za ukame,wakaja sababu za kubadili nguzo,wakaja sababu za mitambo kuchakaa haisha isha wakaja na sababu za NGUZO ZA UMEME KUIBIWA.
Hivi kwa akili timamu hizi ni sababu za kujitosheleza!?
 
Hata kama unaweza kuwa umeandika vizuri , je wizara ya Elim hawajui? Kama wanajua kwanini isipangwe bajet kutoka kwenye tozo nakupeleka vyakula mashuleni mpaka subili letewa mchele wa virutubisho toka Ulaya?

Kwamba sasa mpaka NGO kwa kushirikiana na mataifa ya nje ndo waje na vyakula vya kusaidia wanafunzi ,serikali , wizara husika kazi yake nini?

Ipo misaada ya kupewa ila sio mchele, maharage au aina nyingine ya nafaka
Huo mchele na maharage upo wapi mbona watoto wanakufa kwa utapiamlo kila kukicha? Acha kurahisisha mambo na kubonga kimipasho bila kutumia chembe ya akili.
Mi wanigawie huo mchele nije niwapikie nguruwe wangu na mabata bila kusahau makuku yangu bandani
Acha dharau mkuu. Chakula chenye virutubishi ulishie wanyama?
 
Upande wa pili wanalizungumziaje suala la msaada wa mchele! Si ndio wengi wao wanawakumbatia wamagharibi pamoja na taifa teule!
 
Ngano inayolimwa Ukraine haiwezi kuuzwa europe kwa tatizo hilo hilo na ndo imejaa Africa. Nyie tulieni tu maana hamtaki kulima .
 
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
Watoto wanakufa huko Gaza,wamekataa kusitisha mapigono Ili kuwanusuru watoto wadogo wanao kufa ,eti Leo wanatuonea huruma sisi ngozi nyeusi, Kwa lipi
 
Watoto wanakufa huko Gaza,wamekataa kusitisha mapigono Ili kuwanusuru watoto wadogo wanao kufa ,eti Leo wanatuonea huruma sisi ngozi nyeusi, Kwa lipi
Kwa hiyo sisi hatuhitaji msaada wowote mkuu? Roho mbaya hiyo!
 
Back
Top Bottom