Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

Ndani ya sherehe za kuitana super women, saa chache baadaye, wanaomba vocha, hakunaga uanake WA nguvu Kwa madanga! Ni maonyesho Tu! Deep down ni nothing!
 
Dada alikosea kuzichanga karata zake toka mwanzo. Alivyotaka Mali zote ziwe zake peke yake. Bad move. Yeye toka mwanzo angesema anataka 30% ya mali na pesa. Na share 30% kwa biashara zinazoendelea, angeendelea kula maisha. Lakin alivyosema yote yake na atapodai apewe buku, alilikoroga
 
Watoto ni wachaga wenzao ila mama hawamtaki Kwa vile sio mchaga haki itapatikana tu hyo jamii haina ubinadamu mbele ya pesa

Mzee aliingia king aliona kuoa uchagani ni kujitafutia kifo kumbe kakifuata huko huko

Watoto walimuacha mzee akiwa na stress wakabaki upande wa mama yao leo wako kisa Mali na Mzee na mama Yao waliachana na kukubaliana kulipana kiasi fulani kila mwisho wa mwezi

Ila jack hki yake itaipata tu juu ya wanae ila sio kama anavyotaka
 
klyn kashafeli atulie tu

madada wa mujini mmepata somo, kaeni mbali na mali za familia! kama mnabisha ajitolee mmoja ajilengeshe kwa Mo Dewji akutane na varangati la mamaake muamedi kudadadeki, unapigwa tocha dizain ya zile unaskiaga mafullbeki wa kushoto wapigwaga kule oman!
 


Nyinyi ndio wale watunga story huyo mjane mwenyewe alikili kwenye interview Abdiel alikua amemzoea kwa Kua alikua anaenda nyumbani kwa dr Mengi kumsalimia unasemaje walimtupa baba

Haki anapata lakini hawezi kupata Mali zote alizozikuta kama anavyotaka

Na kwa tAarifa yako hela ikikua haitoki bila wale wakubwa kudondosha signature tangu mzee akiwa hai
 
We jidanganye na porojo za mtaani mengi alishagawana na mkewe na watoto walikuwa upande wa mke Mzee alikuwa na mawazo jack ndo alimpa tumaini jipya

Tatizo matoto kuwa ovyo kufauat mama yao na hao walikuwa ni wakurugenzi katika kampuni za baba yao ila hawakuwa na ukaribu sana asingeandika husia wa vile

Mtamjua jackline ni Nan unadhani mapacha kazaa Kwa bahati mbaya na ni pesa zile ni mkakati mtajua TU kama hamjui
 
Vibabu vingine bhana, sijui huwa vinarogwa, kwani angemfanya kimada tu wa kumzalia angepungukiwa nini? Yeye kaoa kabisa..
Mkuu elewa kuoa ni kufuga, yaani unakuwa unaipata muda wowote uitakayo zizini mwako.

Lakini uhawara, ni uwindaji wa porini usio na kikomo, jambo ambalo wazee wengi wasiopenda shida hawalipendi.
 


Hamka usingizini utajikojolea😹😹😹😹😹ulitaka wakaishi na kyln na Baba yao ndio uone kua wanamjali baba Yao ?
 
Kauza biashara zote hela katumia kwenye Tea party , watoto walikua wanasomeshwa International School of Tanganyika kawaamishia Dubai

Hawawezi kuishi kama alivyokuepo Dr Mengi , kyln alifanya Mzee akope kila bank kumlidhisha mchepuko
Nadhani benki ya damu alikuwa na deni kubwa sana, alipoenda tu hospital wakachukua rehani yao
 
Danga na biashara wapi na wapi. Ile Amorate Furniture tu sijui ilifia wapi? Huyu siyo mpambanaji Bali ni gold digger. Leo hii eti anapambana Mahakamani matunzo ya watoto wakati alifunguliwa biashara nzuri tu.
 
Hamka usingizini utajikojolea😹😹😹😹😹ulitaka wakaishi na kyln na Baba yao ndio uone kua wanamjali baba Yao ?
Unaongea nn au una ropoka kama umekunywa maji ya chooni fuatilia kiande wewe unakuwa na wivu na mwanamke kupata haki take kwani we ni wanamke mwenzie

Watoto wako upande wa mama yao hao watoto wa jack lazima wapate haki yao utaona sasa
 
Ulikua Ni uroho uliopitiliza.
 
Hebu fanya hesabu ndogo tu:

1.Yule mkewe mkubwa(Mercy) ana shares zake pale IPP so Regina na Abdiel Wana mgao kutokana na hisa za mama yao.

2.Bado Abdiel na Regina lazima wapewe mgao wao Kama watoto wa marehemu Mengi.

3.Abdiel na Regina Ni shareholders wa hio Co. So Wana Shares humo.

4.Kuna mtu alikua anaitwa Agapitus Leon Nguma alifariki 2018 nae Ni shareholder wa IPP.

Mpk hapo guess imebaki % kwa ajili ya watoto mapacha wa mengi (Hawa mgao wao lazima uwepo) na hio buku ya kwny Ile mirathi feki inatokea wapi?
 
Buku ni feki kwanza haingii akilini ila watoto wanapata haki saw sio jack kama jack ishi no watoto mpaka mzee anapata maamuzi ya kuzaa na jack alikuwa broke sana akiwa anaendeshwa na ile kesi ya kumlipa mkewe mtalaka kila mwezi

Ninachotetea hao kwani SI damu ya uchagani Kwa nn hawawataki
 
Hizo ni story za vijiweni,jacky anaishi dubai na watoto huko kwa danga jipya,hayo matumizi na ada anataka walipie shule gani wakti hayupo tanzania wala shuleni watoto hawapo...ndio shida ya kuzaa na malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…