Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

Hawa watoto wa Mengi ni walafii sanaa na hela za baba yao... Kwani wamgemmegea huyo Jack sehemu kidogo ya Urithi hata kama sio alivyoandika mengi at least ingemsadiia..
Tatizo hataki kidogo anataka zote
 
Kumbe hata wewe umeliona hili.

Mada za mengi na jack huwa anatawala yeye tu tena upande wa kumponda jack na watoto wake
mali za mengi, watoto wote wana haki. mke mdogo ana haki kwa ile mali iliyochumwa baada ya kuona. hiyo ndiyo haki. watoto wawe wakubwa au wadogo, wa ndoa au wa nje lazima wapate haki. jacquayline alikosea alipotaka kuchukuwa kila kitu na watoto wakubwa wakose. hilo ndilo tatizo. msimamizi wa mirathi kazi yake ni kugawa mali ya marehemu kufuata haki na usawa. akiishaigawa inabidi aiarifu mahakama iangalie kama haki imetendeka na kuruhusu huo mgao
 
Back
Top Bottom