Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Ipp haina watu makini, ukimaanisha wafanyakazi au waajiriwa?Kwenye circle ya familia ya mengi wanachezewa mchezo watakuja kushtuka hawana chao
Yule mjane wa reginald mengi anatumiwa na watu kuhakikisha IPP inafilisika
Ipp haina watu makini,mzee mengi ameacha vijana wasio kuwa na plan ya kuendeleza kampuni
Kunq nia ovu ya kumfanya mjane ashinde kesi,akishashinda kesi atauza hisa zake ambazo ni nyingi ahame nchi kwa ufadhili wa vigogo
Na wanatarget media zaidi wazimiliki ili kuiua ipp abaki mzalishaji moja tu mkubwa
Nimenyetishwa kutoka chanzo makini
Muajiriwa ana ubavu wa kushindana na mwenye hisa kwenye kampuni?