Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mjane alikueleza yote haya au ni fiction tu?Kwenye circle ya familia ya mengi wanachezewa mchezo watakuja kushtuka hawana chao
Yule mjane wa reginald mengi anatumiwa na watu kuhakikisha IPP inafilisika
Ipp haina watu makini,mzee mengi ameacha vijana wasio kuwa na plan ya kuendeleza kampuni
Kunq nia ovu ya kumfanya mjane ashinde kesi,akishashinda kesi atauza hisa zake ambazo ni nyingi ahame nchi kwa ufadhili wa vigogo
Na wanatarget media zaidi wazimiliki ili kuiua ipp abaki mzalishaji moja tu mkubwa
Nimenyetishwa kutoka chanzo makini
Wewe hapo uliyetaka Mengi amweke kimada badala ya kumuoa! Huoni kuwa Mengi:Nani sasa
Sijajua kuhusu regina ila abdiel ndiyo kashikwa masikio na baba mdogo wake
1.) Kwani kimada unamtangaza? Kimada hatambulishwi popote hivyo heshima inavunjikaje kama hakuna anaemjua?Wewe hapo uliyetaka Mengi amweke kimada badala ya kumuoa! Huoni kuwa Mengi:
1. Angevunjia heshima mbele ya Jamii;
2. Watoto wangekosa utambulisho rasmi;
3. Angekosa uhuru wa kusafiri naye po pote anapoenda;
3. Nyumba yake ingekosa wageni wa heshima kutembelewa.
Aidha binti angeonekana malaya na asiyejiheshimu na kukosa uhuru wa kujichanganya na familia ya Mengi.
Muhimu fahamu hata wazee wanapenda kufanya tendo la ndoa na uwezo huo wanao kama alivyoonyesha Mengi.
Kwa maelezo zaidi nenda kwa Juma Kapuya au Lyatonga Mrema!
Kesi ya usimamizi wa hii mirathi bado ipo mahakamani Jack alikata rufaa,
hii ni kesi ndogo inayohusu tu ada na utunzaji wa watoto.
Wasimamizi wa mali zote za Mengi ni Abdiel na Baba ake mdogo, hakuna mali iliyogawanywa.
Sasa wewe unamuona Rita anaheshimika?1.) Kwani kimada unamtangaza? Kimada hatambulishwi popote hivyo heshima inavunjikaje kama hakuna anaemjua?
2.) Watoto watambulishwe wa nini wakati anao tayari wanaotambulika? Akiwatambua yeye na ndugu zake inatosha, jamii haina ulazima wa kuwajua so as long as ndugu wanawajua.
3.) Akose vipi uhuru wa kusafiri nae? Kwani alikuwa ni mume wa mtu? Au anatembea nae barabarani kwa mguu? Mbona katembea sana na Madame Rita na hakuna aliyewaona.
4.) Akose watu wa heshima kwani anaishi kwa kimada wake au anaishi nyumbani kwake? Kwa kimada unaenda weekend tu ikiwezekana, then unarudi kwako, wageni wanakuja kwako, au wanaume waliofiwa na wake zao hawatembelewi na watu wa heshima?
Eti .. "Mtamjua jackline ni Nan unadhani mapacha kazaa Kwa bahati mbaya na ni pesa zile ni mkakati mtajua TU kama hamjui".......🤣🤣🤣 Hawa WANAWAKE WA NGUVU FEKI hawaishi vituko...
Wengi hawaelewi mission ya jack ilikuwaje mpaka anazaa pacha ni pesa katumia kwa maslahi ameenza kumtega Mzee huko dubai kweny ishu za kibiashara yule mzee alikuwa ajiwezi kabisa kwa yul demu ndo ivyoUchawi wa kiburundi ulitumika kumpumbaza dr Mengi . Demu alijipanga tangu day one azae kwa namna yoyote hile aje kurithi na ndoa Yao haikua easily hivyo kyln alituma watu na uchawi wambembeleze Dr Mengi amuoe la sivyo Kylin anagejiua ndio akakubaliwa kuolewa
Tumuombee tu Jackline, maana enzi za Dkt Magufuli haki angalau ilitendeka, ila kwa sasa watu watakula mpunga na kila jambo laweza kwenda ovyo au kupotezwa, yaani kifo cha Dkt Magufuli kimeacha simanzi sanaMahakama ya Watoto Kisutu imewabana wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kwa kukataa kuwahudumia watoto wake wadogo aliowazaa na mjane wake, Jacqueline Ntuyabaliwe.
Mahakama hiyo imetoa msimamo huo katika uamuzi wake wa pingamizi lililowekwa na wasimamizi hao wa mirathi hiyo, Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu wa mke wa awali) na Benjamin Mengi (mdogo wa marehemu Mengi), dhidi ya shauri la matunzo ya watoto.
Mahakama katika uamuzi wake juzi, ilikubaliana na hoja za wakili wa wadai na ikazikataa hoja zote za pingamizi la wadaiwa, hivyo ikatupilia mbali pingamizi hilo.
Shauri hilo la madai namba 50 la mwaka 2022, limefunguliwa na mjane Jacqueline, kama mlezi wa watoto hao akidai matunzo ya watoto hao ikiwamo ada ya shule, baada ya wasimamizi hao wa mirathi kukataa kutoa huduma kwa watoto hao, akiiomba Mahakama hiyo iwalazimishe kuwahudumia.
Jacqueline anadai kuwa watoto hao walikuwa wakigharamiwa na baba yao wakati wa uhai wake ada ya shule pamoja huduma nyingine zote walizostahili kutokana na kipato alichokuwa anakipata.
Hata hivyo, wadaiwa kupitia kwa mawakili wao, Nakazael Tenga, Hamis Mfinanga na Grayson Laizer waliweka pingamizi wakiiomba Mahakama hiyo isilisikilize shauri hilo.
Walidai maombi hayo yamefunguliwa dhidi ya watu wasiostahili, badala yake hilo ni jukumu la wazazi.
Source: Mwananchi
Kama Abdieli Ni chairman wa IPP,je Mkurugenzi wa IPP Media ltd Ni Nani?Ni Abdiel Regina ni Mama Fedha
Mataahira lazima kila sehemu yajaribu kumtaja jiwe hata Kama hahusiki na chochote,kweli legacy inalindwa kwa mbinu yoyote Ile.Tumuombee tu Jackline, maana enzi za Dkt Magufuli haki angalau ilitendeka, ila kwa sasa watu watakula mpunga na kila jambo laweza kwenda ovyo au kupotezwa, yaani kifo cha Dkt Magufuli kimeacha simanzi sana
Tumuombee tu Jackline, maana enzi za Dkt Magufuli haki angalau ilitendeka, ila kwa sasa watu watakula mpunga na kila jambo laweza kwenda ovyo au kupotezwa, yaani kifo cha Dkt Magufuli kimeacha simanzi sana
Kama Abdieli Ni chairman wa IPP,je Mkurugenzi wa IPP Media ltd Ni Nani?
Aisee.EATV Regina na ITV Joyce Mhavile, Abdiel hajawai kuongoza media ukitoa The Guardian
Hv mban nasikia huyo Regina na kaka ake hawajaoa Wala kuolewa Ni ya kweli hayo
Kwani Rita kuheshimika au kutoheshimika inamuhusu nini Mengi ukizingatia hakuweka wazi uhusiano wake? Hata Kwa K-lynn, kuheshimika au kutoheshimika kwake kungemuathiri nini Mengi so as long as hakuna anaejua officially kwamba ni kimada wake?Sasa wewe unamuona Rita anaheshimika?
Woiii unabishana na mahakama 😂😂😂Unajua ada ya IST Mkuu kwa mtoto mmoja ? Na Abdiel alilipa .Nenda kaulize shuleni ndio uje tuongee kwa facts na kumlaumu Abdiel kyln aliwatoa kwenda Dubai kwa faida ya nani na gharama ya nani
Mengi alimuoa kwa sababu alitaka kuhalalisha ngono na kukwepa kudandia wanawake hovyo. Kimada siyo halali yako na wala huna mamlaka juu yake lakini mke ni wako!Kwani Rita kuheshimika au kutoheshimika inamuhusu nini Mengi ukizingatia hakuweka wazi uhusiano wake? Hata Kwa K-lynn, kuheshimika au kutoheshimika kwake kungemuathiri nini Mengi so as long as hakuna anaejua officially kwamba ni kimada wake?
Hapa tunamuongelea yeye Mengi, kwanini tu asingemfanya kimada wa kumzalia watoto, kulikuwa na haja gani ya kumuoa?