Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
akili za kibongo kabisa hizi, yani unawakilisha wabongo wengi wanavowazaga with law IQ, Jifunzeni kwa wahindi na waarabu na wengine huko, mali huzifanya za familia ili kuzifanya zibaki katika familia na hili ndio hufanya watu wanaendelea hadi wanakua mabillionair sababu hata muanzilishi akifa wale wanabaki aanaendeleza, ila wabongo mzee anataka mali zake hata mtoto ake asijue , na anataka watoto nao wajitaftie upya za kwao, ndio unakuta baba anamiliki maduka au biashara au kampuni ila watoto wake wako busy kuapply jobs za kampuni ya familia zingine, wanaenda kuendeleza hizo huku kwao kunakufa, mzazi akifa tu na mali zinapotea hahaIlibidi wapewe mshahara kama wafanyakazi wengine ambao pia huwa wanapigania kuendeleza makampuni. Labda hilo hawakuliwazia mapema wao kama watoto. Ni risk kubwa kujifanya sehemu ya biashara ya familia ama mali za familia siku zote maana ndugu pia hugeukana kisa mali. Kama wangekuwa clear toka mwanzo wakawa pale kama wafanyakazi wakalipwa mshahara kama mfanyakazi yeyote na wakawa na business zao tofauti na familia haya yote yasingetokea. Kwani wafanyakazi ambap huwa wanafanya kazi katika makampuni na wakawa sehemu ya maendeleo ya hizo kampuni huwa wanadai urithi? Hapana!!!.
Hili ni somo kwa watu wengine pia. Mali ya familia kaa nayo mbali, msaidie mzazi ila usiwekeze katika mali ya familia ambapo mzazi mmoja akifariki basi unaanza mgogoro na mama/baba/ndugu.. Ndio mwisho watoto sometime wanaua wazazi wao kisa wanajiona wameinvest pia katika mali za familia. Na hata Mengi ilibidi awafundishe hilo mapema ili wajitegemee..Kamwe huwezi kusema huyu ni ndugu au mwanangu au mzazi wangu hawezi kunigeuka...pesa ni shetani ambaye inabidi umuwekee mazingira ya kutokushawishi huko mbeleni. Ni sawa na mtoto kujenga kwente kiwanja cha urithi au cha familia..Mgogoro ukiibuka anakuwa na uchungu wa pesa alizowekeza kuendeleza kile kiwanja..lakini asingejenga pale angekuwa na assets zake ambazo haziingiliani na familia na angeweza kuacha wanaogombea mali wagombee tu.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app