Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

Muhimu hapa ni kuwaombea pande zote mbili wawe wamoja ...hao watoto hawapaswi kuteseka kwa namna yoyote hawana hatia
 
Kwenye circle ya familia ya mengi wanachezewa mchezo watakuja kushtuka hawana chao

Yule mjane wa reginald mengi anatumiwa na watu kuhakikisha IPP inafilisika

Ipp haina watu makini,mzee mengi ameacha vijana wasio kuwa na plan ya kuendeleza kampuni

Kunq nia ovu ya kumfanya mjane ashinde kesi,akishashinda kesi atauza hisa zake ambazo ni nyingi ahame nchi kwa ufadhili wa vigogo

Na wanatarget media zaidi wazimiliki ili kuiua ipp abaki mzalishaji moja tu mkubwa

Nimenyetishwa kutoka chanzo makini
Hata mie naliona hili.
 
Regina na abdiel hawapokei mabilioni Ya shilingi toka bonite kama faida kila mwaka? Wanashindwa je kuwapa hela wadogo zao? rikiboy
 
Hv mban nasikia huyo Regina na kaka ake hawajaoa Wala kuolewa Ni ya kweli hayo
 
Hivi unyanyasaji wa Wajane tutaacha lini sisi Waafrica halafu watu hao hao wanahubiri Upendo na kukatazana Mabaya wakati wanadhulumu Wajane na Mayatima,

Vitabu vinavyopinga Ushoga havijaeleza na dhuluma za Wajane na Yatima au hayo sio ya muhimu kama Ushoga?
 
Hamka usingizini utajikojolea😹😹😹😹😹ulitaka wakaishi na kyln na Baba yao ndio uone kua wanamjali baba Yao ?

Eti .. "Mtamjua jackline ni Nan unadhani mapacha kazaa Kwa bahati mbaya na ni pesa zile ni mkakati mtajua TU kama hamjui".......🤣🤣🤣 Hawa WANAWAKE WA NGUVU FEKI hawaishi vituko...
 
Hivi unyanyasaji wa Wajane tutaacha lini sisi Waafrica halafu watu hao hao wanahubiri Upendo na kukatazana Mabaya wakati wanadhulumu Wajane na Mayatima,

Vitabu vinavyopinga Ushoga havijaeleza na dhuluma za Wajane na Yatima au hayo sio ya muhimu kama Ushoga?
Upendo uko na pande mbili, usitegemee kuupata kama huutoi.. Na kama hupewi si lazima kuutoa.
 
Sidhani kama wasimamizi wa hiyo mirathi wanakataa kuwahudumia hao watoto; tatizo linakuja pale huyo mwanamke anavyotaka watoto wahudumiwe kama vile marehemu baba yao alipokuwa hai!!

Sasa kama huyo mama anaishi DUBAI na anataka watoto aishi nao huko na huduma ziwafuate huko DUBAI , inakuwa ngumu kidogo. Kama ni shule wale watoto wanaweza kusoma hapa hapa nchini na itakuwa rahisi kuwalipia karo za shule na mahitaji yao mengine. Lakini huyo mwanamke nadhani anataka apelekewe fedha za matunzo ya hao watoto huko Dubai ambako pengine anaishi na wanaume wengine!!

Hapo ndio penye utata wa jinsi ya kuwahudumia hao watoto. Mama anataka kula kwa mgongo wa watoto.
Sasa mkuu kwa umri ule wa Jack unataka asipate kumbatio jipya, halafu ni sheria gani inayomkataza mjane asiishi mahali popote Duniani zaidi ya Nchi yake
 
Hao wasimamizi wa miradhi wanafanya makosa.
Hata marehemu watamuudhi.
 
Kwani jukumu la kulea watoto ni la mama peke yake?
Mali za baba yao zinafanya Nini?
Mnyonge mnyongeni haki Yake mpeni.
Kwa hili la kulea watoto namtetea jackline.
Hao wasimamizi wa miradhi wameshaanz kuwa wabinafsi mwisho watawadhulumu hao watoto
Sijaelewa, ni jukumu la wazazi? Sasa kama mzazi mwenye mchango mkuu kafariki, si mali zake zinatakiwa ziwatunze au? Anyway, K-Lynn kama mzazi, kashindwa kuhudumia wanae?
 
Kwenye circle ya familia ya mengi wanachezewa mchezo watakuja kushtuka hawana chao

Yule mjane wa reginald mengi anatumiwa na watu kuhakikisha IPP inafilisika

Ipp haina watu makini,mzee mengi ameacha vijana wasio kuwa na plan ya kuendeleza kampuni

Kunq nia ovu ya kumfanya mjane ashinde kesi,akishashinda kesi atauza hisa zake ambazo ni nyingi ahame nchi kwa ufadhili wa vigogo

Na wanatarget media zaidi wazimiliki ili kuiua ipp abaki mzalishaji moja tu mkubwa

Nimenyetishwa kutoka chanzo makini
Hyo kesi atashinda sasa kibata yupo kazini atawasaidia.
 
Kwani jukumu la kulea watoto ni la mama peke yake?
Mali za baba yao zinafanya Nini?
Mnyonge mnyongeni haki Yake mpeni.
Kwa hili la kulea watoto namtetea jackline.
Hao wasimamizi wa miradhi wameshaanz kuwa wabinafsi mwisho watawadhulumu hao watoto
Na ndio mimi nimeuliza kitu hicho hicho
 
Back
Top Bottom