Hawa watoto wa Mengi ni walafii sanaa na hela za baba yao... Kwani wamgemmegea huyo Jack sehemu kidogo ya Urithi hata kama sio alivyoandika mengi at least ingemsadiia..
mali za mengi, watoto wote wana haki. mke mdogo ana haki kwa ile mali iliyochumwa baada ya kuona. hiyo ndiyo haki. watoto wawe wakubwa au wadogo, wa ndoa au wa nje lazima wapate haki. jacquayline alikosea alipotaka kuchukuwa kila kitu na watoto wakubwa wakose. hilo ndilo tatizo. msimamizi wa mirathi kazi yake ni kugawa mali ya marehemu kufuata haki na usawa. akiishaigawa inabidi aiarifu mahakama iangalie kama haki imetendeka na kuruhusu huo mgao