Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Njaa kali tunazo ila hatuzulumu warithi mali za baba yao. Ama za waume zao .
Pia pamoja na njaa zetu hatutetei ujinga wa kufika 45 ama 50s hujawai kuoa wala kuolewa wala kuzaa mtoto huku kwenu ni matajiri. Inategemea nyinyi mkifa utajiri wa baba yenu utaenda wapi sasa kama sio kuhamishwa kutoka kizazi chake
Wewe husiedhulumu warithi subili baba ako afe mchepuko wa miaka mitano au huyo kyln aje arithi mashuka na foronya, kwa Kua ni mashuka mtamuacha arithi kule hakuna mambo mepesi mepesi ya kijinga hivyo
Muda wake umefika ameamua kuoa sasa, bila kushurutishwa na baba wala mama yake au mtu yoyote amefata Moyo wake