Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Njaa kali tunazo ila hatuzulumu warithi mali za baba yao. Ama za waume zao .

Pia pamoja na njaa zetu hatutetei ujinga wa kufika 45 ama 50s hujawai kuoa wala kuolewa wala kuzaa mtoto huku kwenu ni matajiri. Inategemea nyinyi mkifa utajiri wa baba yenu utaenda wapi sasa kama sio kuhamishwa kutoka kizazi chake

Wewe husiedhulumu warithi subili baba ako afe mchepuko wa miaka mitano au huyo kyln aje arithi mashuka na foronya, kwa Kua ni mashuka mtamuacha arithi kule hakuna mambo mepesi mepesi ya kijinga hivyo

Muda wake umefika ameamua kuoa sasa, bila kushurutishwa na baba wala mama yake au mtu yoyote amefata Moyo wake
 
Mtu wa miaka 50 kweli aseme hajaoa sabab baba yake alimuoa k lyn. Kwani Mengi na k lyn wamekutana lini? Si wamekutana huku watoto wa Mengi ni above 40

Mwanaume umri wa kuoa ni mid 20s tu . Sema sababu ya umaskini ndio tunajipanga ili tuweze tunza mke ndio tunaoa late 20s ama 30s.

Mtoto wa tajiri level za Mengi anafikaje 50 hajaoa wala hajazaa.

Huyo wa kiume na wa kike na yeye hivyo hivyo hajaolewa mpaka 50s. Hiyo si balaa

Hawajifunzi kwa matajiri wenzao Kina mo dewji wameoa wakiwa early 20s.

Hao watoto wamemuangusha baba yao na mama yao kufa bila kuona wajukuu
Heeh, this in not funny anymore. Yaan umri wa kuoa ama kuolewa mnapangiana siku hizi? Kila mtu na malemgo na mipamgo yake. Mwenzako amepanga aoe baada ya kifanikisha jambo fulan wewe waenda mpangia? Mbutukuna eeh

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Maskini utawaweza kwa Kua yeye alifukuzwa nyumbani mapema kupunguza mzigo akaenda kuoa anataka na wenzie wawe hivyo

Wenzie wanaoa kwa hesabu zao na wanaoa wawapendao kutoka kumoyo sio wao wanaoa / kuolewa kwa ugumu maisha
 
Njaa kali tunazo ila hatuzulumu warithi mali za baba yao. Ama za waume zao .

Pia pamoja na njaa zetu hatutetei ujinga wa kufika 45 ama 50s hujawai kuoa wala kuolewa wala kuzaa mtoto huku kwenu ni matajiri. Inategemea nyinyi mkifa utajiri wa baba yenu utaenda wapi sasa kama sio kuhamishwa kutoka kizazi chake
Mengi ana mjukuu alimuachaga mwanawe Rodney au Mutie nafikiri km sijakosea

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Maskini utawaweza kwa Kua yeye alifukuzwa nyumbani mapema kupunguza mzigo akaenda kuoa anataka na wenzie wawe hivyo

Wenzie wanaoa kwa hesabu zao na wanaoa wawapendao kutoka kumoyo sio wao wanaoa / kuolewa kwa ugumu maisha

Kweli mimi ni maskini sikatai. Nachoshangaa maskini mwenzangu kunitukana kwamba ni maskini sababu nasema ukweli
 
Mnavyomsema huyo Jackie kwani watu wenye ukwasi sio wanaume !? Hawafai kuoa!? Wakitufuata tuwakatae tukubalie masikini tu [emoji23]
Najua komenti nyingi za hivi zinatoka kwa watu gani[emoji23] Don't hate struggle tu
Inshu ya huyo dada watoto wa mengi wanazingua ikumbukwe mengi alishagawa mali na mke wa mwanzo so alibakia na 50% percent yake ndio aliyoigawa wa watoto hawa wa Jackie nalo ni kosa!?
Hao watoto wanataka kuchukua kila kitu which isn't right at all.
 
Hivi mengi aliwaza nini kuzaa uzeeni vile, tulikubaliana kuwa wanaume kuzaa mwisho miaka 5o
Kuzaa sio shida, shida ni kuoa mdangaji, hakupaswa kuoa kwa umri ule, ila kuzaa hata kama ni miaka 100, mtu azae tu
 
Watoto wakubwa sio rizki, mzee akaona isiwe tabu manake nisipoangalia kizazi changu kinaishia hapa...bora hata alivyowapata hao twins.
Watoto anao wa kike na wakiume, sio rizki ndio nini? Na ni yupi sio rizki, hao matwins ndio rizki? How?
 
Maskini utawaweza kwa Kua yeye alifukuzwa nyumbani mapema kupunguza mzigo akaenda kuoa anataka na wenzie wawe hivyo

Wenzie wanaoa kwa hesabu zao na wanaoa wawapendao kutoka kumoyo sio wao wanaoa / kuolewa kwa ugumu maisha
Hahaha wengine wanaoa kwasababu eti umri umesogea. Aisee

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mnavyomsema huyo Jackie kwani watu wenye ukwasi sio wanaume !? Hawafai kuoa!? Wakitufuata tuwakatae tukubalie masikini tu [emoji23]
Najua komenti nyingi za hivi zinatoka kwa watu gani[emoji23] Don't hate struggle tu
Inshu ya huyo dada watoto wa mengi wanazingua ikumbukwe mengi alishagawa mali na mke wa mwanzo so alibakia na 50% percent yake ndio aliyoigawa wa watoto hawa wa Jackie nalo ni kosa!?
Hao watoto wanataka kuchukua kila kitu which isn't right at all.
Sheria waijua vyema?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hana hizo hela za kumpa huyo mzungu Mpya kaajiliwa sio mfanyabiashara,Dubai wanaishi kwenye 2 bedroom apartment
Matajiri kama Dr.Mengi wanakaa kwenye big mansion with an ocean view
Nimekuja gundua Kuna uwezekano hata wale marafiki zake jack wakina nansi, faraja nao pia ni chenga
 
Hao watoto wapimwe DNA huenda yule baba alibambikiwa
INAWEZEKANA WATOTO WA KAWA WA MZEE MENGI, NA WALITUMIA TEKNOLOJIA YA KUPANDIKIZA MAPACHA ITS POSSIBLE NOW DAYS UNACHAGUA MAPACHA GANI UNATAKA, WANAKUNYONYA SPERMS WANAZI PANGILIA UNAVYO TAKA WANAMTUPIA MWANAMKE KITUU NA BOXXXX
 
Kiyasakà.... Uko Kimanjaro yani wanatupwa nje...
Wachagga wana dharau za chini chini. Wana yale mambo ya kumsema mtu pindi akiwa kageuka na kuondoka.

Ntuyabaliwe anateseka kisaikolojia kuwa karibu nao na wanaoumizwa ni watoto wawili wasio na kosa lolote.
 
Funzo kwa wasichana wa siku hizi wakome kudandia Ndoa za watu wenye ukwasi wao.

Huyo Ntuyabaliwe mwenyewe kapuyanga na wengi mno.

Isisahaulike kuwa alikuwa na kashfa ya kuhusishwa na mwarabu aliekuwa master mind wake akusafiri nae sambamba na Marehemu kwa siri.

Ukimuuliza hata historia kamili ya Marehemu haijui zaidi ya kukariri akaunti zake tu.

Mleta topic umeandika kimaslahi binafsi.
Mengi alikuwa na stroke muda mfupi kabla hajafa.

Hata utembeaji wake unaonyesha. Hizo conspiracy theories kwa maisha ya kiafrika zimezoeleka.
 
Kusema watakua ktk umasikini wa kutupa ni uongo, mama yao bado anaweza kuwatunza, watoto wa masikini wanajulikana vizuri huko vijijini na uswahikini na wanakukua na kutoboa kwenye maisha,leo waje kua hao? Hili pia liwe fundisho kwa wadada wenye tamaa za kuwafukuzia wanaume matajiri wakilenga pesa
Una uhakika kuwa mwanamke alimfukuzia mwanaume?.
 
Hapana hao wasimamizi wanapaswa watenguliwe usimamizi mara moja.
aliye stahili kuwa msimamizi ni mjane wa marehemu akisaidiwa na ndugu mwengine.

Lengo la hao wasimamizi naa ndugu ni kumdhulumu mjane na watoto wake.

wanawake mko wapi? mjane huyu Jaquline ananyanyaswa kiasi hiki wakati ana haki!!

Vyama vya kutetea Haki za wanawake mko wapi? taasisi na NGO mbalimbali mko wapi kinacho fanyika ktk sakata hili ni unyanyasaji wa kijinsia.
mfumo dume unakandamiza haki za mjane.
Ni mfumo dume na kibaya zaidi ni kabila la marehemu Mumewe.
 
Back
Top Bottom