Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

huyo dada anashindwaje yeye kuwalea watoto wake...Yeye si amebaki na mikono, miguu, macho na ule uzuri wake aendelee tu kulea watoto vizuri kama alivyokuwepo baba yao, Huo ndio utakuwa upendo otherwise hata kwa baba yao alifuata mali tu..
Utakuta aliye leta hii mada hapa ni huyo huyo mwanamke mwenyewe mwenye tamaa na mali ambazo hakuzitolea jasho yeye, hawa wadada wa sasa ni tatizo sana
 

Huyu mwanamke Lazima ana matatizo tu! Kuanzia Kesi y kwanza mpaka sasa ndo matokeo yake na hatopata anachotafuta
 
Mleta topic utakuta ndo yeye mwenyewe mwanamke tamaa
 
huyo dada anashindwaje yeye kuwalea watoto wake...Yeye si amebaki na mikono, miguu, macho na ule uzuri wake aendelee tu kulea watoto vizuri kama alivyokuwepo baba yao, Huo ndio utakuwa upendo otherwise hata kwa baba yao alifuata mali tu..
Yap!....ila hao watoto wana haki ya kurithi mali zilizoachwa na baba yao na mama yao ni lazima alisimamie hili.
 
Pale aibu inapokupata kuingiza udini pasipostahili. Acha kukurupuka kuleta udini. Kesi za mirathi hazijali ni ndugu wala mtu baki. Iwe muislamu wala mkristo mambo yale yale.

Nimeshajibu swali lako la kusema kwenye uislamu hakuna longolongo,wamsaidie basi mtoto wa mpakanjia na wenzie
Msimamiz wa mirathi wa kina mengi ni ukoo wa kina mengi. Nimeuliza watoto wa mpakanjia wamezurimiwa na ukoo wa mpakanjia ama wa ukoo wa chifupa ama ukoo wa nani ?
 
Hapana hao wasimamizi wanapaswa watenguliwe usimamizi mara moja.
aliye stahili kuwa msimamizi ni mjane wa marehemu akisaidiwa na ndugu mwengine.


Lengo la hao wasimamizi naa ndugu ni kumdhulumu mjane na watoto wake.

wanawake mko wapi? mjane huyu Jaquline ananyanyaswa kiasi hiki wakati ana haki!!

Vyama vya kutetea Haki za wanawake mko wapi? taasisi na NGO mbalimbali mko wapi kinacho fanyika ktk sakata hili ni unyanyasaji wa kijinsia.
mfumo dume unakandamiza haki za mjane.
 
Watoto wakubwa sio rizki, mzee akaona isiwe tabu manake nisipoangalia kizazi changu kinaishia hapa...bora hata alivyowapata hao twins.
Utajiri una mambo sana huu usikute ni maagano kuwa apatecutajiri ila kizazi kisiendelee,motie alikufa akiwa kijana,hawa wengine dah unakufa na mihela hata mjukui huna
 
Mjane wapi sema jambazi lililotumia silaha za kibailojia kwa maana ya urembo wake
 
Yule demu ana tamaa sema kabila lake lina mbeba
Ana wakilisha vizuri kwao.
 
Mjane wapi sema jambazi lililotumia silaha za kibailojia kwa maana ya urembo wake
ndiye aliye kuwa anampa furaha marehemu.
hivyo anayo haki utake usitake.
Ndugu wa Marehemu wanataka kupora na kudhulumu Haki ya Mjane kwa kutumia mfumo dume kandamizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…