Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Unachanganya madesa topic ni watoto wapate haki yao
Haki inaanzia hapo. Yani mama na baba yangu wachume mali halafu from no where mchepuko uzae na baba (na ile ndoa yao fake) halafu watoto wa mchepuko wafaidi kama sisi?? Hapo hata kuloga watalogana. Arudishe watoto Tanzania angalau afikiriwe. Huko dubai asomeshe mwenyewe
 
Watoto hawapati haki kwa mirathi kusimamiwa na mama yao tu. Hata mtu baki anaweza watunzia as long as mahakama imeona si sahihi mama kupewa. Mahakama itaamua.
Wasimamizi walio chaguliwa hawamtendei Haki mjane.
watoto wa Marehemu ni wadogo hawawezi kutetea wala kudai Haki zao bali Mama yao (Mjane) ndiye anawazungumzia watoto wake ambao wanadhulumiwa Haki zao.
Hapa kuna mfumo dume ambao unamkandamiza Haki za mjane.
 
Mfumo dume au utapeli Jike. Lolote linawezekana. Janja janja hakuna, mahakama itampa haki yake.
 
Haki inaanzia hapo. Yani mama na baba yangu wachume mali halafu from no where mchepuko uzae na baba (na ile ndoa yao fake) halafu watoto wa mchepuko wafaidi kama sisi?? Hapo hata kuloga watalogana. Arudishe watoto Tanzania angalau afikiriwe. Huko dubai asomeshe mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
huyo dada anashindwaje yeye kuwalea watoto wake...Yeye si amebaki na mikono, miguu, macho na ule uzuri wake aendelee tu kulea watoto vizuri kama alivyokuwepo baba yao, Huo ndio utakuwa upendo otherwise hata kwa baba yao alifuata mali tu..
hapo umechemka kaka! kama watoto baba yao aliacha mali hana budi kuhakikisha watoto wanapata yale mahitajo ya msingi kupitia mali za baba yao....hao hawasomi shule za milion 2 kaka
 
Hela ipo watasoma popote
Basi msilalamike. Kwani mama yao si amepata danga la kizungu wako dubai. Basi apambane na hali yake. Wakati mke wa mengi na mengi wanachuma yeye hakuwepo sasa asubirie tu akipatiwa sawa ...kikiwa cha masharti pia sawa... kisipokuwepo pia sawa. Anakamia mali aliyochuma mwenzake kama yake vile. Halafu kama mali ingechumika kirahisi basi yeye vile alivyoanzisha akiwa na mengi visingekufa kibudu ikiwemo ile show room
 
Hawajakataa kusomesha pia nafikiri anataka wasome Dubai kwenye shule za kina sheikh Khalifa Sultaani za kifalme za kiboss boss!!hapo ndo anafeli

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cha mtu hakiliki kirahisi
Kama alizaa akijua ameokota gunia la hela basi hana bahati
Haki ya watoto wake watoto wasiiokose ila kuna miwanawake ni mijambazi ipo radhi kuweka hata mtoto kwenye wheel chair akampa na bakuli wazunguke nae mtaani na igizo kuwa hawajala siku mbili ili tu apate pesa.....

Sitashangaa kama mahakama ikitupilia mbali madai haya iwapo yana chembechembe za janja janja za utapeli maana mwanamke mwenye kiu ya utapeli hashindwi kutunga tunga igizo.

Ila kama ni kweli basi naamini mahakama itasaidia watoto wapewe haki yao.
 
hapo umechemka kaka! kama watoto baba yao aliacha mali hana budi kuhakikisha watoto wanapata yale mahitajo ya msingi kupitia mali za baba yao....hao hawasomi shule za milion 2 kaka

baba asingeacha mali ingekuaje?... binti inabidi atuonyeshe sasa hakufuata mali kwa kulea na kusomesha watoto mwenyewe maana wamekitana ukubwani...wakikua watapata haki yao tu, wale ni ndugu zao hawawezi kuwatupa.... anatakiwa aionyeshe dunia sasa, anaweza mwenyewe bila mali za marehemu baba yao...
 
Watoto wa jacky hawakuchagua waje duniani ni matokeo tu.

So wana haki sawa na watoto wakubwa wa mengi. Maana mali wanazogombea ni za baba yao wote
 
Haki ya watoto wake watoto wasiiokose ila kuna miwanawake ni mijambazi ipo radhi kuweka hata mtoto kwenye wheel chair akampa na bakuli wazunguke nae mtaani na igizo kuwa hawajala siku mbili ili tu apate pesa.....

Sitashangaa kama mahakama ikitupilia mbali madai haya iwapo yana chembechembe za janja janja za utapeli maana mwanamke mwenye kiu ya utapeli hashindwi kutunga tunga igizo.

Ila kama ni kweli basi naamini mahakama itasaidia watoto wapewe haki yao.
Huyu kuna mahali wanagongana kwenye maamuzi. Yeye anataka wakasomee dubai
 
Back
Top Bottom