Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Huyu Gold Digger naona anapambana kila upande ili apate pesa. Afahamu tu kuwa kifo cha Mzee Mengi ni utata na familia imeamua kukaa kimya Ila moyoni Wana maumivu. Pili mchagga ukishamburuza Mahakamani kukaa tena mezani pamoja ni ngumu mno. Alianza kuwafungulia kesi kwa wosia wa kugushi ni ngumu Sana aaminike na kukubalika kwenye hiyo familia. Pole Sana Gold-digger na hii utaangukia tena pua.
Pia sidhani kama akina Abdiel na Regina hawezi kukataa kuwatunza wadogo zao Ila inaelekea mwanamke huyo gold digger ni too demanding. Awaache familia wasomeshe wenyewe na watasoma shule nzuri Tu za Kishua. Anataka hemea Child Support ya kukomoana. Pole zake
Alikula vya hali ya juu akijipanga kufilisi Mali zilizochumwa decades ago akifikiri atawaweza. Hana akili maana angekuwa nazo angejifungulia biashara zake mwenyewe na asingekuwa sasa anafungua kesi za Ulaji. Shane on you Killer.