Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Naona wengi tumeivamia hii mada kwa hisia na mambo binafsi kuliko uhalisia.

Kwanza ni haki kwa watoto wa marehemu Mengi kusomeshwa na mali za marehemu baba yao.

Pili ni haki kwa Jackline Mengi kudai hilo jambo kisheria litekelezwa ipasavyo.

Tatu hatujui upande wa pili (wasimamizi wa mirathi) wana maoni gani katika hili.
Unataka kunambia watoto hawaendi shule wako nyumbani kisa ndugu zao hawatoi matumizi?
 
Hapana hao wasimamizi wanapaswa watenguliwe usimamizi mara moja.
aliye stahili kuwa msimamizi ni mjane wa marehemu akisaidiwa na ndugu mwengine.

Lengo la hao wasimamizi naa ndugu ni kumdhulumu mjane na watoto wake.

wanawake mko wapi? mjane huyu Jaquline ananyanyaswa kiasi hiki wakati ana haki!!

Vyama vya kutetea Haki za wanawake mko wapi? taasisi na NGO mbalimbali mko wapi kinacho fanyika ktk sakata hili ni unyanyasaji wa kijinsia.
mfumo dume unakandamiza haki za mjane.
Tatizo mjane alipika wosia aisee na anajulikana ni mdangaji😅 haki haiwezi kuwa sensitive kwa mdangaji kuliko wanafamilia wenyewe.
 
Hawa wanaotoa hoja kwamba Jack atunze watoto ili kuionyesha dunia hakufuata mali au hawa watoto mali za baba yao haziwahusu kwakua marehemu alichuma na mke mkubwa ni wajinga kiasi hichi au wivu na roho mbaya ndiyo wanavitumia kama halmashauri yao ya ushauri?
 
Sio wajinga bali wanafahamu showoff za Jack. angewaacha tu watoto shule waliyopelekwa na Baba yao wakamalizia pale badala ya kuwahamisha nara kuwasuka rasta

Kuna maisha Jack anayatamani ila anajisahaulisha mzee wa kumpa hayo maisha hayupo
Hawa wanaotoa hoja kwamba Jack atunze watoto ili kuionyesha dunia hakufuata mali au hawa watoto mali za baba yao haziwahusu kwakua marehemu alichuma na mke mkubwa ni wajinga kiasi hichi au wivu na roho mbaya ndiyo wanavitumia kama halmashauri yao ya ushauri?
 
Kapewa kila kitu ila binti anataka pasu kwa pasu.

Ule wosia kenyewe na dada yake😂😂😂
Kumbe wanasoma Dubai? Hata mimi ningegoma kuwalipia ada. Haka kademu kanapenda makubwa sana. Nadhani Mengi hakukatongoza, bali kenyewe ndo kalimtongoza ili kajilimbikizie mali.

Hata ule wosia nina mashaka kaliuandika kenyewe....
 
Unamzidi nini k k lyn?
Nimemzidi Akili na maarifa sababu yeye ni mwanamke aliyebarikiwa uzuri basi aliamua kuumiza sehemu za Siri Ili awe gold digger
Halafu heshimu wanaume wewe dada eboo wewe wa Kuni fananisha na K.llyn kidume kama Mimi?
Heshima ni kitu Cha Bure dada angu alaaaaa!
😁😁😁😁
 
Mtu unaambiwa mpeleke shule ya walau milioni 20 kwa mwaka kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu, wewe unataka wakasome South Africa, jumla ya gharama zote kwa mwaka ni milioni 200 kwa mwaka each, taahira gani aue biashara alizopewa kusimamia kisa anasa za kijinga?
kaka unazijua akili za wadada wa bongo fleva na bongo movie lakini?
😂😂😂😂
 
Hapa kuna kitu hakipo sawa
Kesi IPO mahakama ya Rufaa swali kuna stay ya utekelezaji wa hukumu ya Mahakama Kuu? Kwa maana kesi ikishakuwa mahakama ya Rufaa basi mahakama za chini hazina mamlaka.
Wasimamizi wanaweza kufanya kazi wakati bado kesi IPO mahakama ya Rufaa?
Ila Mwisho wakubaliane kuyamaliza kifamilia.
 
Back
Top Bottom