Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kwa heshima ya yule mzee hata mahakama inajua yule mdangajiUnataka wanawake washirikiane kumpa mwanamke mwenzao hata visivyo halali yake. Atapata haki yake mahakamani. Hakuna Janja janja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa heshima ya yule mzee hata mahakama inajua yule mdangajiUnataka wanawake washirikiane kumpa mwanamke mwenzao hata visivyo halali yake. Atapata haki yake mahakamani. Hakuna Janja janja.
Labda kama mahakama ni ya baba yake.Ngoja mahakama iamue. Anachonifurahisha haki yake huwa anakimbilia mahakamani. Hapo nampa big up.
Gold miners vs Gold diggerMali walizalisha wazazi wao. Wakakua wakasoma wakarudi nchini kuziendeleza Imara kabisa. Wana uchungu nazo. Hawa siyo Gold Digger Bali ni Gold Miners. Waheshimiwe na pesa zao. Huyo Jack awe na Adabu.
Peleka ujinga kuleHapana hao wasimamizi wanapaswa watenguliwe usimamizi mara moja.
aliye stahili kuwa msimamizi ni mjane wa marehemu akisaidiwa na ndugu mwengine.
Lengo la hao wasimamizi naa ndugu ni kumdhulumu mjane na watoto wake.
wanawake mko wapi? mjane huyu Jaquline ananyanyaswa kiasi hiki wakati ana haki!!
Vyama vya kutetea Haki za wanawake mko wapi? taasisi na NGO mbalimbali mko wapi kinacho fanyika ktk sakata hili ni unyanyasaji wa kijinsia.
mfumo dume unakandamiza haki za mjane.
Ahsante kwa muongozoSijasema kupeleka moto nimesema kuzaa moto tupeleke mpaka kifutio kiishe
Tobaaaaa. Yaani no kuzaa?Kweli kabisa
Doooh! Mwanamke mwenzio unamkandamiza hivyo?Cha mtu hakiliki kirahisi
Kama alizaa akijua ameokota gunia la hela basi hana bahati
Bitch.Moderators tafadhaii mngefuta huu uzi.
Doooh! Mwanamke mwenzio unamkandamiza hivyo?
You back fag boy? Itch’n for a scratch like always.Bitch.
Wewe ndio mahakama, mbona hawazipati basi kama zao. Kuna taratibu na busara ambayo mama yao hana na wasimamizi ndio wanazitumiaHizo mali ni za watoto hao mapacha wa marehemu.
Mashemeji na wapambe acheni kudhulumu haki za hao watoto wadogo....mtakuja kujutia mbele ya safari kwa kuuchezea na kuukejeli Wosia wa Marehemu Mzee Mengi.
R.I.P
Aisee nimeaminiWanawake hawapendani wanaoneana wivu. Ukisoma comment za kumtetea jack ni wanaume ndio wanaomtetea.
Na ukisoma comment za kumponda jack ni wanawake ndio wanamponda na kutaka asipewe mali za mumewe.
Wanawake wanamuita jacky ni mchepuko wa mengi wakati jack alifunga ndoa na marehemu na picha tumeziona za harusi humu
Una hakika gani kama wosia ulikuwa halisiawacha kumtusi Mrehmu Mzee wetu Mengi (r.i.p), marehemu alikuwa ni mtu makini kuliko wewe na hata ndugu zake wengine, ndio maana aliweza kuuendeleza utajiri wake hadi mwisho wa uhai wake hajawahi kuyumba.
aliishi kwa furaha na amani na huyo mjane, sasa ukidai leo eti ni mdangaji ni sawa na kumtusi na kumdhalalisha marehemu jambo ambalo sio sahihi kabisa.
kinacho takiwa hapa ni Haki ya mjane kwa niaba ya watoto wake ipatikane haraka bila kucheleweshwa na wajanja.
Wosia wa Marehemu lazima uheshimiwe, kamwe usipuuzwe kwa hoja za wenye nia ya kuwadhulumu hao watoto wadogo.
kwa sababu hakuna ushahidi ulio thibitisha kuwa hiyo saini inayo daiwa ilifojiwa.....zaidi ya maneno ya kijiweni.Una hakika gani kama wosia ulikuwa halisia
Mara nyingi sana biashara ya mwanamke utegemea Sana sponsor, mume akishaachwa na hao watu wawili biashara uangukia pua, hata mkeo mpe mtaji kama siyo hulka yake ya biashara na akili ataanguka tu.Kwani show room yake haiingizi pesa tena au mbao za kutengenezea samani hazipatikani? Kama imekufa basi biashara nyingi za wanawake ni za mchongo
We nae unaandika km vile umekatwa kichwa .....nawashangaa hta hai waliokupa like watakuwa na matatizo ya akili km weweHuyo dada anashindwaje yeye kuwalea watoto wake...Yeye si amebaki na mikono, miguu, macho na ule uzuri wake aendelee tu kulea watoto vizuri kama alivyokuwepo baba yao, Huo ndio utakuwa upendo otherwise hata kwa baba yao alifuata mali tu..