Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Huyu mwanamke si alishakata rufaa juu ya usimamizi wa mirathi wa hao uliofanywa na Mahakama Kuu? Rufaa haijasikilizwa tena anapandishia kesi nyingine? Ameanza kupoteana mapema sana
Na bado!
Hili liwe fundisho kwa wadangaji wote
 
Hao ndugu wa Mengi wanazingua. Watoto wa jacky na Mengi ni ndugu zao pia.

Why utata uwe mkubwa hivi.

Hapo ndipo napoipendea dini ya kiislam. Mahakama isingepata shida kugawa mali ingesoma taratibu za kwenye msaafu tu.
Kwann aliwahamisha shule hapa bongo?
Hana akili huyu mwanamke!
 
Kiasi gani cha pesa alikuwa anataka kwa ajili ya matumizi ya watoto alikuwa anataka kwa mwezi ?isije ikawa mamilion ya hela

Ova

Mzee Mengi alikua anampa over 50Million kwa mwezi hata kwa kwenda kukopa bank , ukiacha biashara alizomfungulia na school fees za watoto weka pembeni holiday first class return ticket kokote duniani hayo maisha ya kuchezea hela anatakiwa kukubali hayawezekani tena

Hawawezi kukubali Kukaa na madeni kumfurahisha mchepuko wa baba watafanya vya muhimu meals , accommodation, Education, Holiday Mara mbili kwa mwaka sio zile za kila week alikua anasafiri for shopping
 
Case ipo wazi hela ya nini watoe? Mbona yeye kyln katoa sana rushwa ya papuchi kwa baadhi ya viongozi including Makonda wamsaidie kushinda na Mbona hawakuweza kupindua meza ?vitu viko wazi na Ndoa yake na Mengi ni Batili alifunga mke mkubwa akiwa hajapewa talaka na ndio maana hawakufunga ndoa Tanzania
Hii ndo nasikia leo, nijuavyo hakuna sheria ya mirathi ya kikristo, hivyo sheria haijaweka limit mwanaume mwisho awe na wake wangapi,,
 
amejibu msimamizi ambae ni rafiki wa mpakanjia

Hii ndo nasikia leo, nijuavyo hakuna sheria ya mirathi ya kikristo, hivyo sheria haijaweka limit mwanaume mwisho awe na wake wangapi,,

Watu wanachanganya imani zao, sheria za ndoa zinavyosema, na pia wanachanganya na wivu binafsi kwa wanufaika wa hizo mali za marehemu.

Ukiwauliza Sheria gani ya ndoa inamkataa k lyn kama sio mke halali wa mengi? Wanakuwa wakali bila majibu
 
Si ndo hapo?
Ila we unatumia emotion zaidi kujadili hili,, sheria haisemi eti mtu asiolewe na mtu ambae kishachuma pesa,,, hata nchi zilizoendelea, ukifunga ndoa na mtu, hiyo ndoa ni halali hata mme au mke afe dakika moja baada ya kufunga ndoa mjane ana haki ya kurithi mali
 
Hii ndo nasikia leo, nijuavyo hakuna sheria ya mirathi ya kikristo, hivyo sheria haijaweka limit mwanaume mwisho awe na wake wangapi,,

Hiyo unayoongelea wewe ni ndoa za kimila na muslims hazina Limit, Mzee Mengi alikua na ndoa halali ya kanisa inayotambua mke mmoja

DEE0E499-0F0E-4344-A4D6-9153C68C4D9A.jpeg

E26BE1B4-2909-4671-944A-DED7AB564E3B.jpeg
 
Case ipo wazi hela ya nini watoe? Mbona yeye kyln katoa sana rushwa ya papuchi kwa baadhi ya viongozi including Makonda wamsaidie kushinda na Mbona hawakuweza kupindua meza ?vitu viko wazi na Ndoa yake na Mengi ni Batili alifunga mke mkubwa akiwa hajapewa talaka na ndio maana hawakufunga ndoa Tanzania
Hili swali aliulizwaga umewahi ona divorce ya mumeo na Mercy akajibu hapana[emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Anakufurahisha anavyokimbilia mahakamani , anashinda case sasa? Ameenda mahakamani Mara ngapi na zote ameshindwa

Ubaya ni kwamba anapambana na familia ambayo inafahamika ilipotoka na jamii nzima, Leo nikajilengeshe kwa Dangote nizae after a while afariki then nidai Mali zote hakunaga kitu kama hiko
Janja janja mahakamani hakuna.
 
Mzee Mengi alikua anampa over 50Million kwa mwezi , ukiacha biashara alizomfungulia na school fees za watoto weka pembeni holiday first class return ticket kokote duniani hayo maisha ya kuchezea hela anatakiwa kukubali hayawezekani tena

Hawawezi kukubali Kukaa na madeni kumfurahisha mchepuko wa baba watafanya vya muhimu meals , accommodation, Education, Holiday Mara mbili kwa mwaka sio zile za kila week alikua anasafiri for shopping
Kweli kabisa ,inabidi aache maisha ya kujirusha
Atulie abuni mradi wa kumuingizia pesa
Atulie afanye kazi
Huu siyo wakati wa kudangadanga

Ova
 
Ndio akili za mwanamke mjinga, kipindi kile anaspend kwenye mahotel luxury Dubei pesa angaitumia kuiwekeza kwenye
real Estate Leo asingebaki analialia,

Wanawake wa bongo fleva na bongo movie wanapenda Sana show of wanazidiwa maarifa, ujanja na Shilole std 7 Igunga primary school?
Akishia kufungua kiduka chake fake Cha furniture kinauza ofisi chair moja sh.1.2 m...sijui hata alikuwa anawaza nini yaani!
 
Ndio akili za mwanamke mjinga, kipindi kile anaspend kwenye mahotel luxury Dubei pesa angaitumia kuiwekeza kwenye
real Estate Leo asingebaki analialia,

Wanawake wa bongo fleva na bongo movie wanapenda Sana show of wanazidiwa maarifa, ujanja na Shilole std 7 Igunga primary school?
Mwenyewe akaishia kumfungua duka la furniture ofisi chair moja inauzwa 1.2…..Sijiu hata alikuwa anawa nini huyu dada
 
Ila we unatumia emotion zaidi kujadili hili,, sheria haisemi eti mtu asiolewe na mtu ambae kishachuma pesa,,, hata nchi zilizoendelea, ukifunga ndoa na mtu, hiyo ndoa ni halali hata mme au mke afe dakika moja baada ya kufunga ndoa mjane ana haki ya kurithi mali
I think ,kabla hujani quote ungerudi nyuma uangalie niliyem-quote aliandika nn na mi nikajibu! Anyway!

Btw unaongelea sheria ipi?
Ina maana huko mahakamani kote alikoshindwa hawazijui sheria?
Kwamba hiyo ndoa yake halali anashindwaje ss?
 
Back
Top Bottom