Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Watu wanachanganya imani zao, sheria za ndoa zinavyosema, na pia wanachanganya na wivu binafsi kwa wanufaika wa hizo mali za marehemu.

Ukiwauliza Sheria gani ya ndoa inamkataa k lyn kama sio mke halali wa mengi? Wanakuwa wakali bila majibu


HAkuna mtu mwenye wivu , majority ya Watanzania ni watu wenye kupenda kusimamia upande wa Haki

Na Mimi ni mmoja wao tunasimamia upande wa wenye haki , huo ujambazi akafanyie kwao Burundi

Anadhani kwa Kua jiwe amefariki Basi mahakamani hakuna haki na atapindua meza hakuna kitu kama hiko
 
Nimekujibu mkuu, huyo dem fala kweli kawatoa watoto Internationsl School Of Tanganyika kawapeleka Dubai kwa Mwanaume wake Mpya na hile familia bado inalipa schoolfees huko dubai anataka audumiwe yeye na mzungu wake , umeona wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Khaaa kweli hana akili!
Hasa huyo mwanaume mpya km kweli mwanaume si ampe maisha aliyokua alipewa na Mengi?anahangaika nn?
Hizo hela anazochezea Dubai atazikumbuka ni suala la muda tu
 
Wanawake hawapendani wanaoneana wivu. Ukisoma comment za kumtetea jack ni wanaume ndio wanaomtetea.

Na ukisoma comment za kumponda jack ni wanawake ndio wanamponda na kutaka asipewe mali za mumewe.

Wanawake wanamuita jacky ni mchepuko wa mengi wakati jack alifunga ndoa na marehemu na picha tumeziona za harusi humu
Hakuna lolote,hasa wivu wa nn Kwa jaq?
Watu wanaongea ukweli,ndio alikuwa mchepuko aliyelazimisha ndoa ili aonekane mke halali ,anachokutana nacho ndo matokeo ss!
Mi simpondi ila nasema hivi, hili somo Kwa wadangaji wote wanaodandia Mali za watu,make sure huyo danga anakufanyia kila kitu kabla hajafa ili usilete shida kwenye familia uliyoikuta!

Kwanza ningekuwa mi na hivi wanahudumia watt,ningewaachia mi naendelea na maisha yangu kuliko huu upumbavu anaofanya!

Basi tosheka na unachopewa, yaani ulipiwe ada , full accommodation, vocation bado tena huridhiki,anasahau kuwa kuna wtt wakubwa aache ujinga! Hakuna asiyejua Mali zote alizikuta hajachuma tusijitoe akili hapa!
Kwanza kawakuta wastaarabu nakwambia!
 
Sijabahatika kuona mahali mengi aliwapa watoto wakubwa mirathi unayosema hapa.
Mengi aligawana Na mke wa kwanza wakati hawako pamoja na Mke wa mengi hakuwa na chaguo katika kutoa mirathi yake zaidi kuwapatia wanawe.

Sasa hapo ndo watu huchanganga kuwa mbona walishapewa wakati ni watoto washapewa haki yao kutoka kwa mama .
Bado mirathi ya baba ndo hapo pakaja swali inakuwaje watoto ambao pia alikuwa amewapa hadi usimamizi kwenye baadhi ha kazi zake wasiweko kwenye Mirathi kabisa , aje apewa mtu hajafikisha hata miaka kumi na Mengi apewe vyote?

Alafu tena yeye anae takiwa pewa mirathi ndo awe na hilo hati ya ugawanyi mirathi , wakati haipaswi kukaa na yoyote mwenye kunufaika na mirathi yenyewe.

Pia Huyo dada mbona kuna vyanzo alivyopewa vya kumuendeshea Maisha vya kwakwe peke yake . Ana apertemnt Makongo juu kaachiwa kubwa tuu.

Tatizo matumizi ya mtu asie jua ugumu wa kuipata hela ni tofauti na mtafutaji mwenyewe.
Halafu mtu anakuja Hapa kusema tunamuonea wivu jaq?? Like serious!
Aache ujinga,hao watt watalelewa vzr tu wachaga hawaachi damu yeye tu mawenge yake!
 
Khaaa kweli hana akili!
Hasa huyo mwanaume mpya km kweli mwanaume si ampe maisha aliyokua alipewa na Mengi?anahangaika nn?
Hizo hela anazochezea Dubai atazikumbuka ni suala la muda tu

Hana hizo hela za kumpa huyo mzungu Mpya kaajiliwa sio mfanyabiashara,Dubai wanaishi kwenye 2 bedroom apartment
Matajiri kama Dr.Mengi wanakaa kwenye big mansion with an ocean view
 
Mwenyewe akaishia kumfungua duka la furniture ofisi chair moja inauzwa 1.2…..Sijiu hata alikuwa anawa nini huyu dada
Aiseee hata Mimi nilishangaa kama wewe Aiseee
Yaani office chair 1.2 million halafu mchina hahahahahah si Bora niende keko fenicha nikazoe kenta nzima kitu og?
 
Mwenyewe akaishia kumfungua duka la furniture ofisi chair moja inauzwa 1.2…..Sijiu hata alikuwa anawa nini huyu dada
Aiseee hata Mimi nilishangaa kama wewe Aiseee
Yaani office chair 1.2 million halafu mchina hahahahahah si Bora niende keko fenicha nikazoe kenta nzima kitu og?
 
ni sahihi wosia unaweza kweli kupigwa kama kuna hoja za msingi na zenye ushahidi thabiti....hapo wosia unaweza batilishwa lkn ktk mazingira ya Mirthi ya marehemu Mengi wosi wake ulibatilishwa kwa sababu zisizo na mashiko......ulibatilishwa kwa hoja za kudhania na kufikirika!!.....lkn pia kwa msukumo na ushawishi wa ndugu za marehemu....
kama kuna suala la kufoji...lipelekwe kwa wataalamu wabaini kama kweli saini ya marehemu ili fojiwa sio kudhania tu!!!

suala la kuenguliwa watoto wengine ktk wosia huo lipo wazi kabisa, ni kwa sababu tayari Marehemu alisha wapa sehemu yao na kilicho baki sasa walipewa hao watoto wadogo wa mjane.
sasa kilichopo hapo ni tamaaa ya upande mwengine, Wosi hauna matatizo hata kidogo.
Mental capacity ya Marehemu mbona huiongelei, maana Marehemu aliweka mpaka Mali ambazo sio zake ktk huo wosia, huoni hapo Marehemu "alikuwa" anamchezesha shera
 
Case ipo wazi hela ya nini watoe? Mbona yeye kyln katoa sana rushwa ya papuchi kwa baadhi ya viongozi including Makonda wamsaidie kushinda na Mbona hawakuweza kupindua meza ?vitu viko wazi na Ndoa yake na Mengi ni Batili alifunga mke mkubwa akiwa hajapewa talaka na ndio maana hawakufunga ndoa Tanzania
Ohoooo hapa pagumu.

Kwa hiyo mahakamani asubuhi kapigwa kitu kizito, yeye sio mjane ni hawara!!!!!
 
Mzee Mengi alikua anampa over 50Million kwa mwezi , ukiacha biashara alizomfungulia na school fees za watoto weka pembeni holiday first class return ticket kokote duniani hayo maisha ya kuchezea hela anatakiwa kukubali hayawezekani tena

Hawawezi kukubali Kukaa na madeni kumfurahisha mchepuko wa baba watafanya vya muhimu meals , accommodation, Education, Holiday Mara mbili kwa mwaka sio zile za kila week alikua anasafiri for shopping
50 m

Akaishia kununua gucci versace na trip za paris


Dadeki


Kwenye miti zero wajenzi
 
Bongo movie mwenye akili ni shilole pekee wengine akili ufanana.
Kuna mmoja aliwadharau wasio na gari akishangaa unapandaje daladala enzi zile analipa
Huyu huyu Shilole alikuwa akicheza utupu ubelgiji na kagame?
1305034_image.jpg


Proved mrangi Victoire Sky Eclat Jestkilla zitto junior King Kong III
 
Ni watoto na wamekuwa kwenye sehemu ya umiliki kwa miaka mingi! Iweje leo uwanyang’anye kizembe yani? K lynn kakosa adabu wacha nao wamkosee adabu tu.

Mama wa kambo tena yanki kutaka kuwapanda kichwani watoto ambao ni age mates wako ni ukichaa kuliko tafsiri yenyewe. Wangemaliza msiba vyema na kuzungumza kwa busara tu kuwa tunafanyaje jamani. Ya Mungu yametimia wadogo zenu ndio hawa hapa.

Hamna mtu ambaye hana uelewa ukimu approach kwa busara. Ila ukijifanya much know hata mie nakunyoosha😅
Mkaldayo bana
 
Back
Top Bottom