Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Mara nyingi sana biashara ya mwanamke utegemea Sana sponsor, mume akishaachwa na hao watu wawili biashara uangukia pua, hata mkeo mpe mtaji kama siyo hulka yake ya biashara na akili ataanguka tu.
Biashara nyingi za wanawake ni za show-off tu 😅😅😅 daily utatakiwa umboost maana mambo hayaendi yani!!!
 
Ndio akili za mwanamke mjinga, kipindi kile anaspend kwenye mahotel luxury Dubei pesa angaitumia kuiwekeza kwenye
real Estate Leo asingebaki analialia,

Wanawake wa bongo fleva na bongo movie wanapenda Sana show of wanazidiwa maarifa, ujanja na Shilole std 7 Igunga primary school?
Wengi wako hivyo, ni show off tu akili hakuna, hapo mtaji umekata usikute mijamaa tayari imeshamwingiza King hana mbele wa nyuma silaha aliyo nayo ni watoto, anataka kutumia watoto kupata pesa na si vinginevyo. Kama ni chakula kulala, shule na shida ndogo ndogo pesa hipo , hila huyo mama anataka kwa sababu zake hivyo anatumia mgongo wa watoto. Na wanawake wengi waume zao wakifa hata kama angeacha mali kiasi gani huwa zinateketea tu, huyu aliachiwa furniture shop kubwa tu mbona analia Lia wakati hiyo furniture shop mtaji wake mkubwa sana. Madume yake ya zamani yameingia mitini maana jack ni.mtu wa matumizi Sana usikute keshateketeza mtaji wote anarudisha majeshi kutumia mgongo wa watoto apate pesa, ni kazi sana.

Screenshot_20220207-005920.png


Screenshot_20220207-005807.png


Screenshot_20220207-005737.png


Screenshot_20220207-005359.png
 
wacha kumtusi Mrehmu Mzee wetu Mengi (r.i.p), marehemu alikuwa ni mtu makini kuliko wewe na hata ndugu zake wengine, ndio maana aliweza kuuendeleza utajiri wake hadi mwisho wa uhai wake hajawahi kuyumba.
aliishi kwa furaha na amani na huyo mjane, sasa ukidai leo eti ni mdangaji ni sawa na kumtusi na kumdhalalisha marehemu jambo ambalo sio sahihi kabisa.
kinacho takiwa hapa ni Haki ya mjane kwa niaba ya watoto wake ipatikane haraka bila kucheleweshwa na wajanja.
Wosia wa Marehemu lazima uheshimiwe, kamwe usipuuzwe kwa hoja za wenye nia ya kuwadhulumu hao watoto wadogo.
Sasa mbona hauheshimiwi
 
Wanawake hawapendani wanaoneana wivu. Ukisoma comment za kumtetea jack ni wanaume ndio wanaomtetea.

Na ukisoma comment za kumponda jack ni wanawake ndio wanamponda na kutaka asipewe mali za mumewe.

Wanawake wanamuita jacky ni mchepuko wa mengi wakati jack alifunga ndoa na marehemu na picha tumeziona za harusi humu
Hahaha afuu kweli asee
 
Ooohh kuna mdau humu ngoja aje atupe stori kamili Mimi.
Nimekujibu mkuu, huyo dem fala kweli kawatoa watoto Internationsl School Of Tanganyika kawapeleka Dubai kwa Mwanaume wake Mpya na hile familia bado inalipa schoolfees huko dubai anataka audumiwe yeye na mzungu wake , umeona wapi 😀😀😀😀
 
Nimekujibu mkuu, huyo dem fala kweli kawatoa watoto Internationsl School Of Tanganyika kawapeleka Dubai kwa Mwanaume wake Mpya na hile familia bado inalipa schoolfees huko dubai anataka audumiwe yeye na mzungu wake , umeona wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Waconvert hela walokuwa wanalipa ist wampe
Ila klyn nimeamini anapenda kuamini wanaume
Si angetulia tu alee watoto??
 
Kiasi gani cha pesa alikuwa anataka kwa ajili ya matumizi ya watoto alikuwa anataka kwa mwezi ?isije ikawa mamilion ya hela

Ova
 
Tena hao watoto wa mzee mengi Ni wasitatabu Sana huyu mdangaji alitakiwa awe magereza kwa kugushi sahihi ya Mzee mengi.


Wastaarabu kweli kweli , angekua familia za kiswahili wangeshammaliza na kwa kumtupia majini ya kutosha anapewa kila kitu lakini anawasumbua na kuwachafua sana

Kylin anabwia unga ( cocaïne) ndio maana anachizika
 
Wastaarabu kweli kweli , angekua familia za kiswahili wangeshammaliza na kwa kumtupia majini ya kutosha anapewa kila kitu lakini anawasumbua na kuwachafua sana

Kylin anabwia unga ( cocaïne) ndio maana anachizika
Atakuwa anataka hela ndefu

Ova
 
Hawajakataa kusomesha pia nafikiri anataka wasome Dubai kwenye shule za kina sheikh Khalifa Sultaani za kifalme za kiboss boss!!hapo ndo anafeli

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app


Hata asome shule gani Dubai , hakuna shule ya kufikia IST kwa gharama na wana familia wana uwezo wa kulipa, hiyo ni janja janja ya huyo gold digger kutaka kusumbua ile familia
 
Ngoja mahakama iamue. Anachonifurahisha haki yake huwa anakimbilia mahakamani. Hapo nampa big up.


Anakufurahisha anavyokimbilia mahakamani , anashinda case sasa? Ameenda mahakamani Mara ngapi na zote ameshindwa

Ubaya ni kwamba anapambana na familia ambayo inafahamika ilipotoka na jamii nzima, Leo nikajilengeshe kwa Dangote nizae after a while afariki then nidai Mali zote hakunaga kitu kama hiko
 
Hata kama alifuata mali , maadamu walifunga ndoa huyo ni mke halali wale watoto nao wana haki na hiyo mali,,
Conclusion yangu watoto wakubwa wa mengi watakua wanatandaza milungula kama hawana akili nzuri,,,
Hii ni open and shut case,,,
Mpaka watu waanze kupelekeana mbinguni kwa ajili ya uroho wa mali ndipo watu wazinduke,
Huyo jack apewe haki yake

Case ipo wazi hela ya nini watoe? Mbona yeye kyln katoa sana rushwa ya papuchi kwa baadhi ya viongozi including Makonda wamsaidie kushinda na Mbona hawakuweza kupindua meza ?vitu viko wazi na Ndoa yake na Mengi ni Batili alifunga mke mkubwa akiwa hajapewa talaka na ndio maana hawakufunga ndoa Tanzania
 
Anakufurahisha anavyokimbilia mahakamani , anashinda case sasa? Ameenda mahakamani Mara ngapi na zote ameshindwa

Ubaya ni kwamba anapambana na familia ambayo inafahamika ilipotoka na jamii nzima, Leo nikajilengeshe kwa Dangote nizae after a while afariki then nidai Mali zote hakunaga kitu kama hiko
Kwa sheria ipi?
 
Msimamiz wa mirathi wa kina mengi ni ukoo wa kina mengi. Nimeuliza watoto wa mpakanjia wamezurimiwa na ukoo wa mpakanjia ama wa ukoo wa chifupa ama ukoo wa nani ?
Kwa hiyo huo uzuri wa uislam kwenye mirathi unaangalia nani aliyekabidhiwa?
 
Huyo dada anashindwaje yeye kuwalea watoto wake...Yeye si amebaki na mikono, miguu, macho na ule uzuri wake aendelee tu kulea watoto vizuri kama alivyokuwepo baba yao, Huo ndio utakuwa upendo otherwise hata kwa baba yao alifuata mali tu..
Unawajua au unawasikia?
 
Back
Top Bottom