Sio nyinyi mliokuwa mnasema hakuna mwalimu anaeweza kuuchafua CCM,kwakua haijawaongezea mishahara na kuwapandishia madaraja?Walimu njaa kali, posho tu za usimamizi tayari wamesahau maswaibu yooote!
Kwenye uchaguzi ccm ni waoga zaid ya hata kunguru
Na miradi yenu yote mliofanya stl mnakuwa waoga
Waoga na waongo ni Chadema, mwaka huu tutawafundisha adabu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana
Huu ni uchaguzi huru na wa haki sio uchaguzi wa kunyimana form. Acheni mawazo mgandoKweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!
Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?
Sio nyinyi mliokuwa mnasema hakuna mwalimu anaeweza kuuchafua CCM,kwakua haijawaongezea mishahara na kuwapandishia madaraja?
Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!
Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?
Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!
Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?
Duh,Hapa nakubaliana na wewe yaani walimu wanavyohangaika hadi huruma. Kabla majina hayajatoka ya wasimamizi, hao walimu kila mara huulizia vipi majina yashatoka?[emoji23][emoji23][emoji23]
Daah inahuzunisha sana kuja kufuatilia wanalipwa bei gani hata laki moja haimo Ila walivyofurahia ni hatari na waliokosa wamenuna balaa.
Walimu ni kundi la hovyo sana hapa Nchini, yaan malipo ya laki moja tayari wameshasahau kila kitu.