Uchaguzi 2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

Walimu njaa kali, posho tu za usimamizi tayari wamesahau maswaibu yooote!
Sio nyinyi mliokuwa mnasema hakuna mwalimu anaeweza kuuchafua CCM,kwakua haijawaongezea mishahara na kuwapandishia madaraja?
 
Waoga na waongo ni Chadema, mwaka huu tutawafundisha adabu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana
Kwenye uchaguzi ccm ni waoga zaid ya hata kunguru

Na miradi yenu yote mliofanya stl mnakuwa waoga
 
Wapo baadhi ya walimu wanamipango michafu kikubwa umakini unahitajika
 
Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!

Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?
Huu ni uchaguzi huru na wa haki sio uchaguzi wa kunyimana form. Acheni mawazo mgando
 
Iyo ilikua inafahamika tangu mwanzo tulituma maombi ya usimamizi.

Tukapenyezewa chini ya kapeti kuwa wasimamizi na wasaidizi watakua watumishi wa umma.

Sisi ambao sio watumishi wa umma tutakuwa mawakala tu wakupanga watu kwenye mstari.

Sababu ni kuwa sisi ambao sio watumishi wa umma hatuna wadhamini kwamba tukiiba mashie hatutambuliki na hatuna wadhamini
 
Sio nyinyi mliokuwa mnasema hakuna mwalimu anaeweza kuuchafua CCM,kwakua haijawaongezea mishahara na kuwapandishia madaraja?

Kwa sababu ya njaa kali na vitisho vya wakurugenzi, laki moja tu walimu wameshusha pumzi na kusahau shida zao zote.
 
Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!

Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?

Wote waliochaguliwa kusimamia uchaguzi ni ccm,
 
1603379052727.png
 
Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!

Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?

Pamoja na kwamba ni walimu lakini ni wanachama cha ccm. Kama siyo mwanachama walikuwa hawateuliwi
 
Hapa nakubaliana na wewe yaani walimu wanavyohangaika hadi huruma. Kabla majina hayajatoka ya wasimamizi, hao walimu kila mara huulizia vipi majina yashatoka?[emoji23][emoji23][emoji23]

Daah inahuzunisha sana kuja kufuatilia wanalipwa bei gani hata laki moja haimo Ila walivyofurahia ni hatari na waliokosa wamenuna balaa.

Walimu ni kundi la hovyo sana hapa Nchini, yaan malipo ya laki moja tayari wameshasahau kila kitu.
Duh,

Utashangaa hata milioni kwa mwezi huingizi. [emoji20]
 
Back
Top Bottom