Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
- Thread starter
-
- #101
Ndugu mshabiki,ulienda uwanjani kwa raha zako,umefurahi kwa raha zako,ilipofikia hatua ukakereka ungeondoka kwa raha zako na ungebakia na raha zako.
Tutayafanyia kazi malalamiko yenu, mtusamehe hasa kwenye ishu ya muda na mpangilio wa matukio.
Tutajitahidi kufanya maboresho.Asante kwa kupokea malalamiko.
Naimani wakati ujao tutakua bora zaidi.
Baada ya Mzee Kikwete , Sunday Manara ,Mzee Magoma anaefuata ni wewe.Hata mimi kiukweli sijafurahishwa na mambo kadhaa kwenye tamasha la jana;
1. Kupangwa siku ya Jumapili, badala ya Jumamosi! Na hii ni kutokana na ukweli kwamba baadhi ya mashabiki wanatokea Mikoani, na usikute ni wafanyakazi! Sasa unarudi vipi Mkoani na kuwahi kazini?
2. Mchezo wa kuhitimisha tamasha kuanza saa tatu usiku! Wakati mwingine nashauri mchezo uanze kati ya saa 11 - 1 jioni, ili watu waondoke mapema kurudi majumbani kwao. Sidhani kama kulikuwa na sababu ya msingi ya kuanza saa tatu usiku.
3. Hajji Manara adhibitiwe. Huyu kiumbe akiendelee kuachwa afanye anavyotaka; bila shaka kuna siku watu watasusa kuhudhuria hilo tamasha. Haiwezekani mtu mmoja ajione ana haki ya kufanya chochote anachojisikia hata kama ni kitu cha kipuuzi! kwenye kundi la watu elfu 60+.
Na Manara hashauriki hata kidogo. Alishajiona anajua kila kitu na hakuna wa kumuuliza Wala kumpangia chochoteWatamuogopa hadi lini?
Sipo kuharibu ugali wa Manara, ila wakati wa kudeal naye ni sasa kabla hajajiona ni kila kitu pale Yanga.
Huyu jamaa ukimpa freedom tu, anafanya anachotaka na ana ushezi mwingi sana.
Alafu Aly komwe anaachiwa masufuria na mabakuli ya supu aoshe peke yake .
Mechi ilitangazwa itakuwa saa mbili usiku, sasa hapo kwa akili za kawaida mechi itaisha saa ngapi?
Wenye timu yetu wala hata hatujakasirika. Mimi nilifurahi sana mechi kuisha saa 5 usiku kwa sababu nilijitwalia zangu katoto ka mwaka 2006 kama soma VETA na Mimi nikaonjamo..
Mkoo busy kuongelea matukio ya Yanga Day ila baada ya tarehe nane mtaanza kuongelea matukio yenu. Huku mkikumbushia bil 20 na kuanza kuyatafuta maduka.
Mm cjui mechi imeanza saa ngap mana hua sifatilii, ila kama mechi mkitangaziwa inaanza saa mbili usiku c unajua kabisa hapo itaisha saa ngapi au?Well. Mechi imeanza saa ngapi Mkuu?
Au ndio tumeamua kutetea kila kitu kwa maslahi ya Club? [emoji1]
Kipi umekiona ww cha ajbu mpaka mnakuza.Subiria baada ya tarehe nane nazani mtapata vya kuongea vitakavyokuwa vinawahusu nyinyi.Tunazungumza mambo ambayo yametokea sasa, hayo mengine yana wakati wake.
Muda sahihi ukifika tutazungumza tu. Mazuri kwa mabaya. Pongezi na malalamiko.
Ilitangazwa itaanza saa mbili ikaanza zaidi ya sasa tatu usiku. Saa Moja na zaidi mbele. Je ni sawa?Mm cjui mechi imeanza saa ngap mana hua sifatilii, ila kama mechi mkitangaziwa inaanza saa mbili usiku c unajua kabisa hapo itaisha saa ngapi au?
RatibaIlitangazwa itaanza saa mbili ikaanza zaidi ya sasa tatu usiku. Saa Moja na zaidi mbele. Je ni sawa?
Nyie ndio mnapenda sifa. Mnataka kila kitu kiwe kama akili zenu za ovyo zilivyo.Unaona sasa akili zenu?
Tatizo lenu mnapenda kusifiwa tu.
Mm cjui mechi imeanza saa ngap mana hua sifatilii, ila kama mechi mkitangaziwa inaanza saa mbili usiku c unajua kabisa hapo itaisha saa ngapi au?
Sasa c mngeondoka muende makwenuMechi ilipaswa kuanza saa mbili kamili, lakini imekuja kuanza saa tatu na nusu ambapo kwa muda huo mechi ingekuwa ukingoni ukingoni Mkuu.
Kwamba mashabiki wa Yanga hamuoni tatizo kabisa??Mkoo busy kuongelea matukio ya Yanga Day ila baada ya tarehe nane mtaanza kuongelea matukio yenu. Huku mkikumbushia bil 20 na kuanza kuyatafuta maduka.
Mbona kwenye ratiba iliyowekwa juu inaonesha kuwa mechi ni saa mbili na nusu hadi saa tatu na dakika 15 ndio muda wa kuanza?Mechi ilipaswa kuanza saa mbili kamili, lakini imekuja kuanza saa tatu na nusu ambapo kwa muda huo mechi ingekuwa ukingoni ukingoni Mkuu.